Habari.
Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha.
Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
Naibu Rais huyo wa Kenya amesema Serikali haitowavumilia Wanaoandamana kwa kuharibu Mali za watu pia wajue wao ndio sababu ya Polisi kuingia Mtaani na kupambana nao, vinginevyo wangekaa tu Vituoni.
Gachagua amewataka Askari kutekeleza majukumu na kutosumbuliwa na kauli za Wanasiasa wa Upinzani...
Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya.
Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police
Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers.
Addressing the media on Friday night...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi katika kuzuia, kubaini, na kupambana na vitendo vya kihalifu kuanzia ngazi ya mtaa.
Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema limefanikiwa...
Tanga. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiwashikilia watuhumiwa 11 kwa makosa ya utapeli kwa njia ya mandao, majirani katika nyumba waliyokuwa wakiishi watuhumiwa hao wamesema wakiwa humo walikuwa na utamaduni wa kufungua muziki kwa sauti kubwa.
Pia wanadai watuhumiwa waliokuwa wamepanga...
Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao.
Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu
Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza.
kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
Ndugu wanajamvi Habari za muda huu,
Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini.
Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe!
Rais anayesaini mikataba ya...
Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
Ukweli askari polisi ni kero kubwa kwa wananchi. Ni kero kubwa kwa wakulima, wafugaji, wasafirishaji, wafanyabiashara na hata madereva barabarani. Kila jambo na kila kitendo wanachokifanya ni kwaajili ya kupata hela kwa njia ya rushwa au unyang'anyi kunakosababisha Wananchi wanakata tamaa ndani...
Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,
Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
Taarifa zaidi kukujia
========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati...
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person.
Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limewakamata watu wawili huku likimtafuta mtu mmoja kwa tuhuma za mauji ya Mahadhi Selemani Humbu (20).
Tukio hilo lilitokea katika ukumbi wa disco ujulikanao kama ‘The Don’ uliopo Kata ya Ziwani katika Halmashauri ya Wilaya Mtwara June 30 mwaka huu baada...