Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya.

Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo.

Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP, Justine Masejo amepiga marufu upigaji wa fataki na kuwataka wananchi ambao wanapenda kupiga fataki wafike katika ofisi za Jeshi hilo kupata vibali.
3591b575-6fad-41c4-8b84-bc382043cbc6.jpeg
 
Katazo lipo ila watu watapiga cha msingi usikubali ipigiwe eneo lako maana utauponza mwaka.

Mm nimeshaandaa matairi mawili siwezi maliza siku 360+ nisiharibu kitu
 
Kuna mwaka mmoja nilikuwa jozi
Jamani bongo bado sana
Alafu hayo maonyo ni ya kizamani sana wafike mahali waachane nayo
 
Back
Top Bottom