KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi!
Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi ya Kisheria inaongozwa kwa misingi ya sheria na siyo kutoka mtu kwa sababu yeye ana mamlaka ya kufanya chochote basi anatekeleza anachotaka!
Twende eneo la Ving’ora (sirens) Hili ni sawa kabisa polisi wachukue hatua kali kwatakaokutwa na ving’ora kwani vinaondoa maana halisi ya kwa watu au taasisi zinazoruhusiwa kuwa navyo na magari yanayokithiri ni magari ya serikali,mawaziri,wabunge,Wakuu wawilaya,makatibu wakuu,wana Jeshi,polisi wenyewe, hata watu Bonarski na taasisi za kiraia, Iła kwenye hili naona polisi wanashindwa asubuhi! Maana kuna magari hawatathubutu kuyagusa!.
Polisi warudi nyuma katika uamzi wa 3D siyo wabusara wamepotoka. Kesho mtasema tinted watu wazitoe hapo itwapasa mtoe mgari yote ya serikali kabla ya kuja kwenye magari ya kiraia, kuna mambo mengi yakuzingatia katika magari hasa katika swala la ukaguzi magari makubwa hasa ya mizigo mengi ni mabovu sana!
Kuliko kufanya ukaguzi wa kila mwaka ukaguzi uwe wa kila mara na endelevu hii itapunguza ajali zisizokuwa za lazima wakiweza kusimamia hili ajali nyingi zitazuiwa!