Uchaguzi 2020 CHADEMA bila polisi ni wepesi kama pamba, Lissu anaomba hata leo akamatwe lakini wapi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,425
CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.

Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.

Screenshot_20200924-002735_1600896501803.jpg
 
Mlipokubali mfumo wa vyama vingi, inaonekana hamkuwa tayari kwa changamoto za vyama vya upinzani.

Mada yako imelenga zaidi kuona wapinzani wakipata kashkash za polisi na mengineyo.

Mmefanya siasa miaka 5 peke yenu vumilieni muda huu, najua hamuamini kinachoendelea mpaka sasa.

Tegemeeni kuvuna kwa kadri mlivyopanda.
 
Mlipokubali mfumo wa vyama vingi, inaonekana hamkuwa tayari kwa changamoto za vyama vya upinzani.

Mada yako imelenga zaidi kuona wapinzani wakipata kashkash za polisi na mengineyo.

Mmefanya siasa miaka 5 peke yenu vumilieni muda huu ,najua hamuamini kinachoendelea mpaka sasa.

Tegemeeni kuvuna kwa kadri mlivyopanda.
Walidhani TL atakuwa hapati watu kbs mikutanoni na ndicho walitamani ndio sabb kupiga pini media kutangaza habari zake, watawala na vibaraka wao wameaibika sana awamu hii!.

Mikutano ya ccm wanatumia nguvu kubwa sn kuanzia kusomba watu kwa malori, wasanii, media covarage nk ili kuaminisha umma kwamba yesu wa lugola anakubalika ajabu...hata hivyo watu wengi hasa wa mijini wameanza kushtukia ulaghai huu!!.
 
Kwa sera gani? Kwa akili gani??tunataka UHURU HAKI NA MAENDELEO
Fanya kazi mkuu utapata maendeleo. Uhuru na haki ni vitu ambavyo mpaka tutakufa hatutavipata.

Havikupatikana tangu enzi za Yesu na Mohamed sisi ndio tuje kuvipata!!.
 
Unanikumbusha hadithi ya fisi anayesubiri mkono uanguke mpaka anakufa bila ya lengo kutimia.
Maana ya chama cha siasa ni kikundi cha watu wenye mawazo yanayofanana, wanaotafuta wanachama wanaoweza kuchaguliwa na wananchi katika maswala ya kuongoza serikali. Ndani ya CCM hamuachiani maji ya kunywa mezani.
 
Maana ya chama cha siasa ni Kiki do cha watu wenye mawazo yanayofanana, wanaotafuta wanachama wanaoweza kuchaguliwa na wananchi katika maswala ya kuongoza serikali. Ndani ya CCM hamuachiani maji ya kunywa mezani.
Huko kwa kina Mbowe unapafahamu vizuri?.
 
Back
Top Bottom