polisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

    Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda. Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo. Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, kukiri hadharani kuwa polisi hutumia nguvu za ziada ni sababu tosha ya kuondolewa nafasi yako

    Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria. Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi? Hii ni kinyume na katiba ya...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

    Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way. Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  6. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

    Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa...
  7. King Sae

    JamiiForums Tanzania Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

    aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
  8. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  9. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

    Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??. Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi wanajisiakiaje pale wanaposikia maneno haya ya Hamza akiwasifia Raisi Magufuli na Samia?

    Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata wamekuwa wakijitahidi kuonyesha Hamza alikuwa mtu hatari angeweza kuua raia wengi kama Polisi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

    Wanadhulumu raia mali zao? Wanabambikia raia kesi? Wanachukua rushwa kwa nguvu? Wanapiga raia hovyo hovyo? Wananachukua wake za watu kwa nguvu? What' s wrong with PT?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi

    Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi. " Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Madai ya kuwa Polisi ni waonevu Yasipuuzwe, tukio la Hamza lituunganishe zaidi kuliko kutugawa

    Kumekucha!! Tukio la Hamza ni tukio Baya la kikatili na linalohuzunisha, nimezipitia clip kadha wa kadha za tukio hilo Kwa kweli zinaumiza, zinasononesha na zinatisha mno. Sitaki Kueleza jinsi saikolojia ya Hamza na Wale Askari namna walivyokuwa wanakabiliana huku kila mmoja ikifikia hatua ya...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kati ya polisi na raia nani anatakiwa kutenda haki?

    Jeshi la polisi ni chombo muhimu sana kwa ulinzi wa taifa lolote lile. Hiki ni chombo amabacho kina jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao. Lakini katika kulinda usalama wa raia na mali zao polisi wanatakiwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kulinda haki za raia. Raia nao...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

    "Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne ========= IGP...
  18. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  19. Dogo GSM

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

    Wakuu nchi imekuwa ngumu hii nahisi kila mtu amevurugwa, imetokea jana asubuhi kuna jamaa anasemekana ni mjeda amepewa kichapo na vijana hao wenye hasira kali. Chanzo ni baada ya bodaboda kumpeleka mjeda huyo kazini..inasemwa mjeda huyo alifika kijiweni juzi asubuhi na kumchukua boda mmoja...
  20. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

    Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
Back
Top Bottom