Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea.
Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE...
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana.
Shida ya jeshi la polisi ni latina.
Shida ni CCM,
Shida ni serikali iliyopo madarakani.
Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika.
Latina yao...
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?
Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo .
Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo...
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku.
Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
baada
ccm
dunia
dunia nzima
imeshindwa
itv
kelele
kesi
kesi ya mbowe
kuendelea
maana
mafisadi
mahakama
mambo
mawakili
mbowe
mkapa
mtu
nje
peter kibatala
polisi
shahidi
simu
uhuru wa mahakama
ulinzi mkali
uongo
uwanja
uwanja wa mkapa
vibaya
Walimkamata dereva bodaboda na kumuingizia ufagio kwenye njia ya haja kubwa
Chanzo Mwananchi
====
RIPOTI MAALUMU: Polisi wadaiwa kumtoboa utumbo dereva bodaboda
THURSDAY SEPTEMBER 16 2021
Ally Bakari akiwa nyumbani kwao Chang'ombe mkoani Dodoma aliporuhusiwa kutoka hospitali kwa mara ya...
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa makala hiyo Ni Kama aliwasogeza Polisi waandamizi kwenye vyombo vya habari maana tunaona clip za RPC...
Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya.
Na kama mtu ambaye ametuhumiwa tu, ana haki zake sawa na raia wa kawaida tu, hivyo, hizo haki zinatakiwa ziheshimiwe mpaka pale...
Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka.
Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania.
Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria.
Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
Raisi Samia naomba nimpe ushauri wa wazi bila kufanya haya utapata shida sana na siasa za Tanzania
1. Utaratibu wa kuwaachia usalama wafanye maamuzi muhimu ya nchi watakuja kukupotosha. Kuna viongozi ndani ya usalama hawataki ufanikiwe na wanajiona wenyewe ndiyo wenye nchi kuanzia na...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga.
Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili.
Kwa bahati nzuri sana kabla ya kuikacha CCM na kuamua kubaki kufundisha kunoa vijana,nimewahi kua...
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.
Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.
"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.