polisi

  1. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi makao makuu 2021

    DOWNLOAD PDF FILE CHINI
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

    Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

    Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuokoa Polisi, kuwe na Kamishna wa Siasa

    Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya maamuzi yake kwa kuangalia kusifiwa au kupandishwa cheo. Polisi wamekuwa wakitafuta sifa kwa watawala...
  8. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

  10. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

    Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano 😂 Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Simbachawene kemea maovu na uvunjifu wa haki za binadamu unaofanywa na polisi

    Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea. Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
  13. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwanamke akatwa mguu na hawara yake(picha zinasikitisha)

    Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE...
  14. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo . Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

    Walimkamata dereva bodaboda na kumuingizia ufagio kwenye njia ya haja kubwa Chanzo Mwananchi ==== RIPOTI MAALUMU: Polisi wadaiwa kumtoboa utumbo dereva bodaboda THURSDAY SEPTEMBER 16 2021 Ally Bakari akiwa nyumbani kwao Chang'ombe mkoani Dodoma aliporuhusiwa kutoka hospitali kwa mara ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi halina mbinu, limepoteza sifa ya kuitwa Polisi

    Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
Back
Top Bottom