Polisi jamii kukamata vyombo vya Moto na kubambikiza watu kazi

Mwakitombeo

Member
Jun 29, 2021
59
73
Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo

Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria.

Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na hawa watu kwa kuvaaa gamba la polisi Ikiwemo kubambikiza watu kesi.Nimekutana na matukio ya Polisi Jamii wakikamata vyombo vya Moto na kutoza watu faini posipo kua na mashine ya risiti.

Je, mipaka ya kazi ya hawa Polisi Jamii ni ipi mbona wananyanyasa raia?

Je, sheria inasema?
 
Back
Top Bottom