Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,379
30,829
Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
 
Mabasi yanayoenda mwanza yanakimbia Sana wanaweza kuligonga ikaleta balaa.
 
Aisee Mkuu, Wawahi haraka before yale majizi ya kuiba maguta bado hayajatokeza, yatakimbilia kuchomoa betery kisha madhara yatokee adi traffic wakufie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom