Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Polisi imeahirishwa?

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,606
2,055
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu

Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].

Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.

wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.

Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
 
Poleni sana mnaohangaika na mpira wa kibongo. Mimi tangu 2006 nishabaki kufuatilia mpira wa ulaya, sina time na ushenzi, wskibadilika (wakianza kuendesha mambo kisasa) mnishitue nianze kufuatilia.
Bora wewe mkuu umejitambua mapema
Africa mpira unarudishwa nyuma na viongozi wasiojitambua
 
Kumbe sababu unajua kuwa TFF wanawaandalia viporo Mabingwa wa nchi Simba harafu unategemea tena kupata jibu.
Wewe ndio unalia lia halafu unawasingizia wengine, manyani ni manyani tu.
yaani mpaka kwa wale wachovu Wabotswana pia mnaomba kupumzika na tena mna agreggate goli 2
ila mwaka huu kupumzishwa na litim lenyewe halielewek haitowasaidia bora mngecheza wachezaji wazidi kuzoena

tatizo hamjiamini wakati mwingine kucheza mechi nying ndo kunaipa timu uimara viongozi hawajui hili
 
yaani mpaka kwa wale wachovu wa botswana pia mnaomba kupumzika na tena mna agreggate goli 2
ila mwaka huu kupumzishwa na litim lenyewe halielewek haitowasaidia bora mngecheza wachezaji wazidi kuzoena

tatizo hamjiamini wakati mwingine kucheza mechi nying ndo kunaipa timu uimara viongozi hawajui hili
Timu lisiloeleweka lishatolewa hatua za awali huko caf. Unaongelea mifano ya ulaya wakati timu lako hayaishi hata robo tu ya huko ulaya.

Timu lako linaamini ushirikina kwa kutopita geti rasmi kuingia uwanjani. Utopolo wacha kulia lia TFF wanajua wanacho kifanya.
 
Kwani uwewe Yanga hutaki mwakani kuingizwa Tena CAF au ushajikatia tamaa?
kwani nyie bado mna ndoto mwaka huu za kufika robo fainali??

kama unaota basi amka mkuu makolo hamna kitu msimu huu si kitaifa si kimataifa
 
Back
Top Bottom