Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo:
Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ;
Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama.
Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi.
Ni kweli kabisa...
Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi.
Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema litatoa taarifa ndani ya saa 24 kuhusu sakata la baadhi ya askari wilayani hapa kutuhumiwa kuwashika sehemu za miili wasichana na kuwalazimisha mapenzi.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda alisema ni...
Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa...
Kwa mara ya Kwanza polisi wetu wameweza kuchunguza kwa haraka zaidi na kwa muda mfupi mno na kupataa majibu mengi juu ya gaidi Hamza. Kuwa alijifunza Ugaidi mtandaoni, aliishi kwa Siri na kuwa alikuwa ni gaidi wa kidini, Imani kali.
Polisi wetu wameweza kufanya uchunguzi huku gaidi Hamza akiwa...
Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza...
Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi?
Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
Ukifuatila kwa ukaribu suala la mauji alofanya Hamza kisha nae kuuwawa unabaki na maswali mengi kuliko majibu.
Nmesoma gazeti la mwananchi tangu kutokea kwa tukio hili kuna vitu vingi ni ambiguous, kwa mfano majirani zake wote waliohojiwa wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole ukienda chunya...
Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari.
Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
Juzi tu hapa nilikuja na uzi wa kuhoji weledi wa Jeshi la Polisi haswa nililenga tukio la kumpiga risasi Mtu aliyenyoosha mikono juu..ingawa baadae naona Mods waliuunganisha uzi ule na uzi uliotangulia.
Nimejifunza mengi kupitia baadhi ya comments za Wachangiaji...nimejifunza ya kuwa bado tupo...
Katavi. Jeshi la polisi mkoa wa Katavi kwakushirikiana na kikosi maalumu cha askari wa Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoka makao makao Arusha wamekamata watu tisa akiwemo raia wa Burundi wakiwa na meno matatu ya tembo, bunduki aina ya AK- UC-0045-1988 ikiwa na magazine moja na risasi 28...
Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde .
Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa...
Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala.
Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia...
Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao.
Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata.
Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.