Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,864
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi.

Uwazi wangu ukikukwaza na Kukuumiza nakushauri jipige Kofi la Nguvu Usoni mwako kisha tafuta Sumu ya Kuua Panya, Ndorobo na Kunguni Korogea katika Kikombe kisha Kunywa Ufe kabisa ukapumzike vizuri.

Naamini kuna Shida Kubwa inaendelea Simba SC na inafanywa Siri kwetu Sisi Mashabiki kwani hata tu 'Body Language' ya Wachezaji wa Simba SC inathibitisha hilo na wala huhitaji kuwa na Elimu Kubwa Kugundua ( Kuligundua ) hili.

Bado nataka na natamani Mechi yetu nyingine ya Jumapili tufungwe ili 'Kinuke' au 'Kisanuke' Klabuni Simba na tupigane, tufarakane na tufukuzane ili Timu iwe chini ya Wazee na Kamati Maalum huku Kocha Mkuu wa muda akiwa Matola na Mgosi wakati akisubiriwa Kocha Mkuu mpya wa Kigeni.

Rally Bwalya Kanikera Kutufungia Goli.
 
Genta mimi ni mtani wako Yanga lialia....

Hebu tuongee mpira na si "mbango"....

Ile penati yenu ni halali kwa sababu zifuatazo:-

1) Kama beki wa Polisi angeupiga mpira kwa kuinua mguu juu huku akiwa amelielekea goli na kuupa mgongo uwanja na huku Morisson angetokea nyuma yake kuupiga Kichwa basi ingekuwa ni KINYUME CHAKE....

2 Beki alikuwa mbali kidogo na mpira kushindwa kuupiga Kichwa na kuamua kuupeleka mguu ilihali Morrison (asifiwe kwa ujanja) alishajua hilo na kuamua kupeleka Kichwa akitaraji "lililotokea" .

MORRISON ni mchezaji mjanja/mzoefu na mwenye kutumia akili sana uwanjani mshukuru kwa kutuibia mchezaji wetu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
 
We kwasababu ulishasema una tamani leo tufungwe na haijawa kama ulivyotaka, sishangazwi na maoni yako lakini clip inajieleza, hakuna namna ambayo unaweza ukasema hii penalty ni conspiracy.

 
Haukua mpira wa kichwa kivipi au umesimuliwa mpira ulikua juu na Morrison aliweza kuufikia kwa kichwa na beki wa polisi kanyenyua mguu ulitaka iwaje mpaka iwe faulo kumbuka mpaka jopo la madaktari liliitwa ili Morrison atibiwe au ulitaka afie uwanjani
Haukua mpira wa kichwa ndiyo maana mpigaji aliinama,na ni ndani ya box,haikua faulo
 
Huyu ndugu kwa kujifanya kujua kila kitu tu,.... .. hawezekaniki!
Pumbavu zenu hivi tokea muanze kusema kuwa GENTAMYCINE najifanya najua Kila Kitu mmefaidika na Pesa au hata Umasikini unaowateseni 24/7 Kupungua kama si Kumalizika?

Kama GENTAMYCINE najifanya najua Kila Kitu je, nyie pia mmezuiwa kujua Kila Kitu?

Hivi kama GENTAMYCINE niko very Knowledgeable, well Informed halafu nina Exposure yangu hii ya Wastani ukichanganya na Ubongo wangu uliobarikiwa vyema na Mwenyezi Mungu nikijua Mambo mengi / Vitu vingi kuliko Mpumbavu na Mswahili Wewe kuna tatizo?

Ndiyo maana 24/7 huwa nawadharau tu. Endeleeni tu Kuimba kuwa GENTAMYCINE najifanya najua Kila Kitu na napenda mno Sifa huku IQ yangu ikizidi Kuimarika na zenu zikizidi Kufifia huku Wivu wa Umaarufu wangu mkubwa na uliotukuka hapa JamiiiForums ukizidi Kuwatesa / Kuwateseni.

Nasisitiza tena kuwa Simba SC leo kwa Penati ile nyepesi ya Kutafutiwa ili Referee atupoze kwa Kulikataa Goli halali la Kichwa la Meddie Kagere ni dhahiri shahiri kuwa tumebebwa kwa Mbeleko 100%.

Halafu nilishasema sana huko nyuma kuwa kama hunipendi na unanichukia mno GENTAMYCINE tafadhali nibloku ( ignore ) lakini cha Kushangaza 99.999% ya JamiiiForums Members wanaonichukia ( Wewe ukiwamo ) ndiyo mnaoongoza kwa Kupenda Kunisoma na Kuchangia Mada zangu na kuacha za wale mnaowapenda na Kuwaamini hivi nikiwa nawadharau na kuwaiteni Wapumbavu nakuwa nakosea?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE mtanikoma!!
 
Watu wasiojua mpira bana,,,kitendo cha kunyenyua mguu kwenye kichwa cha mtu ni faulo tena ya wazi au ulitaka refa apete then mlete uzi kua refa kawanyima Simba penalty ya wazi
Huna Akili na acha Kunipotezea muda wangu tafadhali sawa? Kama ilikuwa Penati halali kwanini Mshika Kibendera hakunyoosha wakati alikuwa karibu na Tukio badala yake Mwamuzi aliyekuwa kwa nyuma ndiyo alipuliza Filimbi?
 
Back
Top Bottom