Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi.

Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa nchini huku wengine 86 wakiwa wamejjuruhiwa katika kutekeleza majukumu yao.

Mkoa wa Njombe uliongoza kwa kuua askari 4, ikifuatiwa na Morogoro iliyoua askari 3. Kwa majeruhi Songwe na Lindi wameongoza ambapo askari 10 walijeruhiwa na kila mkoa.
 
Mapolisi ndio wahalifu namba moja Tanzania, naamini wengi wakisoma hapa kua mapolisi walikufa wakilinda hufurahia.
Hao mapolisi 11 hawafikii hadhi ya HAMZA mmoja.
 
Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi

Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa nchini huku wengine 86 wakiwa wamejjuruhiwa katika kutekeleza majukumu yao

Mkoa wa Njombe uliongoza kwa kuua askari 4, ikifuatiwa na Morogoro iliyoua askari 3. Kwa majeruhi Songwe na Lindi wameongoza ambapo askari 10 walijeruhiwa na kila mkoa
Kudeal na mhalifu ni changamoto sana
 
Wachache sana mkuu,naamini mwaka 2021 idadi itaongezeka maradufu
 
Back
Top Bottom