Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1652965391821.png

Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.

Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.

Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
 
Ndoto zangu ni kuwa na nyumba yangu smbayo ipo ndani ya hekari moja,humo ndani naendesha migufo na kilimo cha hapa na pale kama vile mihogo,viazi,maboga,bustani n.k
Ukimudu maisha hayo utaishi kama matajiri wa Ulaya, kila kitu unakula fresh na organic. Ukifagia banda la kuku mbolea unamwaga kwenye kitalu cha mchicha.

Ukitaka kufaidi usiwe mvivu, unaamka saa kumi na mbili unafanya kazi mpaka saa tano unapumzika, saa kumi unafanya kazi mpaka saa 12 unamaliza siku. Unaoga na kuchukua chupa ya bia baridi kutoka kwenye fridge na kuangalia taarifa ya habari.

Utaona mayai, mboga na matunda unatoa shambani, gharama yako labda kununua mafuta ya kula, unga wa mahindi na wa ngano pamoja na mchele.
 
Ndoto zangu ni kuwa na nyumba yangu smbayo ipo ndani ya hekari moja,humo ndani naendesha migufo na kilimo cha hapa na pale kama vile mihogo,viazi,maboga,bustani n.k
Safi sana hii ndiyo mawazo ya ki self reliance. Uchumi wa nyumbani. Home based economy.

Bro utakakopatia kiwanja nishtue na mm niwe jirani yako💪
 
View attachment 2230582
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.

Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.

Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
Hii nyumba ni kubwa sana.
Pale site kwangu nilinunua kiwanja chenye msingi 'kama huu'. Kila nikipiga gharama ya kuuendeleza, inakuja 20+M.
Sasa nimeamua kuubomoa tofali nihamishie kwenye main house.
 
View attachment 2230582
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.

Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.

Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
Haka katamu ...kanaweza kula milion ngapi?
 
Daaah katika ramani ya ovyo hii ipo yani kuingia master bedroom kitu cha kwanza kukiona ni CHOO!!Big NO kwangu
Naomba utuwekee na wewe ya kwako hata uliyochora kwa mkono ili tujue kweli unajua ku design
 
Back
Top Bottom