Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
1652704443610.png

Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC.

Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow ambayo iliteuliwa na Chama cha Soka cha Ghana kuchunguza madai hayo ya upangaji matokeo.

Klabu itaanza kutumikia adhabu hii kuanzia msimu wa 2022-23. Wachezaji, waamuzi na wote waliohusika katika kutekeleza uhalifu huu watachukuliwa hatua za kinidhamu.

===

The Obuasi-based club have faced the wrath of the disciplinary committee appointed to investigate their matchday 34 of the top-flight last season

Ashantigold SC have been fined and demoted to the Division Two League after they were found guilty of match manipulation in their 2020-21 Ghana Premier League fixture against Inter Allies FC.

The club has been found guilty by a disciplinary committee headed by chairman Osei Kwadwo Adow that was appointed by the Ghana Football Association to investigate the alleged match-fixing claims.

“Ashantigold SC will be demoted to Division Two League after being found guilty of match manipulation in their fixture against Inter Allies FC,” read part of the statement released by Ghana FA on Monday.

“The decision takes effect from the 2022-23 league season. Officials of the club and players, who participated in the above-mentioned match have also been sanctioned by the disciplinary committee.”

There were several reports within the local and international football space that the matchday 34 fixture at the Obuasi Len Clay Stadium on July 17 2021, which Ashantigold won 7-0, had been fixed to fulfil a correct score of five goals to one in their favour.

A video extract of the match circulated on various social media platforms showed a player of Inter Allies scoring two own goals and also showed a lacklustre attitude of players on the field of play.

According to the disciplinary committee, the GFA Compliance & Integrity Office together with the GFA Prosecutors investigated the matter and in accordance with Article 34(5) of the GFA Premier League Regulations wanted charges against the two clubs and referred Ashantigold to the Disciplinary Committee.

The committee further explained the sanctions meted on Ashantigold: “That at the end of the 2021-22 Ghana Premier League season, Ashantigold shall be demoted to the Division Two League in accordance with Article 6(3)(h) of the GFA Disciplinary Code 2019.

“That a fine of GHc100,000.00 is imposed on Ashantigold in accordance with Article 6(1)(c) and Article 6(4) of the GFA Disciplinary Code 2019.

“The President of Ashantigold Kwaku Frimpong is banned from taking part in any football-related activity for a period of 120 months in accordance with Article 34.5(d)(i) of the Ghana Premier League Regulations 2019.

“That a fine of One hundred thousand Ghana Cedis (GHc100,000) is imposed on Dr. Kwaku Frimpong in accordance with Article 34.5(d)(ii) of the Ghana Premier League Regulations 2019.”

The statement continued: “That the Chief Executive Officer of Ashantigold SC Emmanuel Frimpong is banned from taking part in any football-related activity for a period of 96 months in accordance with Article 34.5(d)(i) of the Ghana Premier League Regulations 2019.”

Meanwhile, the committee has also banned Ashantigold head coach Thomas Duah for 24 months alongside the team manager Aidoo Gee Ahmed.

“That the Head Coach of Ashantigold Thomas Duah is banned from taking part in any football-related activity for a period of 24 months in accordance with Article 34.5(d)(i) of the Ghana Premier League Regulations 2019,” added the statement.

“That the Team Manager of Ashantigold Aidoo Gee Ahmed is banned from taking part in any football-related activity for a period of 24 months in accordance with Article 34.5(d)(i) of the Ghana Premier League Regulations 2019.”

Also affected are eight players from the team, who have been banned for 24 months. The players are Stephen Owusu Banahene, Dacosta Ampem, Frank Akoto, Agyemang Isaac Opoku, Amos Kofi Nkrumah, Eric Esso, Moses Kwame, and Solomon Afriyie.

The committee also banned five other players for 30 months after they failed to appear before them. They are Emmanuel Owusu, Mohammed Bailou, Amos Addai, Paul De Vries Asare, and Nana Kwasi Darling.

The committee’s statement concluded: “That all above-mentioned sanctions shall commence from the 2022-23 League season and this decision shall be communicated to Fifa to be given international application in accordance with the GFA Disciplinary Code and Fifa Disciplinary Code considering that a number of players are now playing in clubs outside the jurisdiction of the Ghana Football Association.”
 
Hata bongo kuna mwaka paka walimfunga meco goli nane ili wasishuke daraja😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Timu kongwe ya Ashanti Gold imeshushwa daraja kwa kupanga matokeo na kampuni moja ya betting.

Ashanti walipanga washinde 5:1 ila kuna beki wa timu pinzani mwenye roho mbaya alishtukia mchezo huo mchafu, alipoona goli tano zimeingia akajifunga nyingine mbili makusudi ili kuwaharibia jumla zikawa saba bila.

Taarifa zikafika chama cha soka, uchunguzi ukafanyika na timu zote mbili zimeshushwa daraja kwa kupanga matokeo.
 
Timu kongwe ya Ashanti Gold imeshushwa daraja kwa kupanga matokeo na kampuni moja ya betting.

Ashanti walipanga washinde 5:1 ila kuna beki wa timu pinzani mwenye roho mbaya alishtukia mchezo huo mchafu, alipoona goli tano zimeingia akajifunga nyingine mbili makusudi ili kuwaharibia jumla zikawa saba bila.

Taarifa zikafika chama cha soka, uchunguzi ukafanyika na timu zote mbili zimeshushwa daraja kwa kupanga matokeo.
Huyo beki kama walipanga matokeo kwanini ashitukie sasa?

Fixed match huwa inahusisha wachezaji, kocha, marefa. Wanakubaliana kuvuna win win situation ndipo wanapanga matokeo
 
Huyo beki kama walipanga matokeo kwanini ashitukie sasa?

Fixed match huwa inahusisha wachezaji, kocha, marefa. Wanakubaliana kuvuna win win situation ndipo wanapanga matokeo
Na huyo beki kwa upumbavu alioufanya ni suala la muda tu kabla ya mafia hawajamla kichwa, maana yake ni kua kaingiza hasara ya mabilioni kwa syndicates zilizobetia correct score ila walioweka over 4.5 na over 5.5 as a safest bet watakua waliipiga hela.
 
Na huyo beki kwa upumbavu alioufanya ni suala LA muda tu kabla ya mafia hawajamla kichwa...maana yake ni kua kaingiza hasara ya mabilioni kwa syndicates zilizobetia correct score....ila walioweka over 4.5 na over 5.5 as a safest bet watakua waliipiga hela
Hizo over lazima ziliwekewa odds ndogo kwa sababu mechi ilipangwa, hata hivyo walipata hicho hicho kidogo.

Makampuni ya betting yalipona hapo maana yangenyolewa hatari
 
Hizo over lazima ziliwekewa odds ndogo kwa sababu mechi ilipangwa, hata hivyo walipata hicho hicho kidogo.

Makampuni ya betting yalipona hapo maana yangenyolewa hatari
Odds kuwa ndogo ni kutokana na pre match betting, ila nlivosikia ni kuwa watu wakifix game wanacheza live betting ili kutokufanya match kuwa suspected. Syndicates zinazoweka pesa nyingi huwa wanatumia underground market za east Asia ambako mamlaka za kuchunguza pesa zilizobetiwa huwa hazina mandate huko.
 
Kwa league nyingi za Africa kuanzia over 2.5goas huwa odds zinaanzia mbili kwenye game nyingi..so over 5.5 goals haahaaa ni disaster kwa bookmakers wasiokuwa informed na match husika. Odds 10× hela uliyostake...duh its a good bussines for an insider.

Screenshot_20220517-125134.png
 
Huyo beki kama walipanga matokeo kwanini ashitukie sasa?

Fixed match huwa inahusisha wachezaji, kocha, marefa. Wanakubaliana kuvuna win win situation ndipo wanapanga matokeo
Jamaa hakupewa mgao, tena alitokea benchi.
 
Back
Top Bottom