pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lagrange

    JamiiForums Tanzania Naulizia Machimbo ya Spare Parts za Pikipiki Kariakoo

    Habari ya wakti huu wakuu, Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN. Asante.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya pikipiki aina ya SanLG mpya

    Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
  3. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Hapa Dar pikipiki Aina ya Haojue zimekuwa adimu

    Wakuu leo nimezunguka kutafuta pikipiki tajwa hapo juu katika Joni hili la karaha na maraha nimeshindwa kupata wenyeji wananiambia kuwa hazipatikani kwa Sasa, swali je mchina ameshindwa kuzalisha au kuna tatizo mahala.
  4. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu hiki kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki?

    Naomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi? Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda...
  6. Jitu Kabeja Diggala

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye vitabu na material mengine kwa kujifunzia ufundi magari na pikipiki anisaidie

    Mambo vipi wakuu, Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu. Lengo langu ni kupata...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pikipiki wilaya ya Bagamoyo

    Polisi Bagamoyo tusaidieni jamani pikipiki zinaibiwa kila siku, madereva wanaumizwa tunawaomba mchukue hatua stahiki kwa wahusika uhalifu unazidi siku hadi siku siku.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za mwalimu Nyerere, Waziri wa Utalii, Dr. Kigwangalla angeeleza alikopeleka pikipiki 25

    Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere. Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza. Yote kwa yote namuunga mkono...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

    Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi. Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Cecilia Mwanga, Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia Makini, amechukua fomu za uteuzi NEC

    Cecilia Mwanga, Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia Makini amechukua fomu za uteuzi wa kugombea nafasi hiyo leo Agosti 8, 2020 katika ofisi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma. Bi. Mwanga ameambatana na Mgombea Mwenza, Tabu Juma pamoja na viongozi wa chama.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

    Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
  12. marandu2010

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Wakuu kwa mara nyingine tena: Pikipiki zimeenea sana sasa hasa katika jiji letu la Dar es salaam.Hii inanifanya nione biashara ya spea za pikipiki itakuwa inalipa sana? Sijajua upande mwingine wa shillingi. Hebu nipate mawazo yenu wakubwa. Mna maoni gani katika hili? Asanteni sana wakuu...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wakulima tumieni pikipiki kulimia shambani. Sio lazima uwe trekta pikipiki inatosha

    Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
  14. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Wamiliki/waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa tupeane ushauri, tujue changamoto na jinsi ya kumudu biashara hii

    Wakuu wasalaam. Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k. Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe, kama basi limekuacha chukua pikipiki ufike

    Siwezi kusema kauli ya Father of The Nation Mwl. JKN kuwa mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM, maana hata wakati wa Edo kauli hii ilitamkwa sana na kuaminisha umma kuwa sasa siasa ya Tanzania imepata uhalisia. CCM ni chama chenye mizizi iliyosambaa sana kiasi ukichimba juu juu huwezi kuiona...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780 Kutoa ni moyo .
  17. don g dou

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki Sanlg Inauzwa

    Inauzwa PIKiPIKI Aina Ya Sanlg Sl125-5 Haimjui Fundi Bei Ni 1.8m Ipo Kahama Piga 0622556749 Karibuni
  18. sawe4u

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu. Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)? 1. Boxer 2. SANLG 3. Feckon 4. TVS King 5. Hero 6. King Lion 7. Houjo --- --- --- BAADHI YA MAONI...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inahitajika, bei isizidi milioni moja

    Habari wakuu, ninahitaji kununua pikipiki aina ya kinglion ambayo no nzima sana bei isizidi milioni kwa mwenye nayo aweke picha hapa na mawasiano
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

    Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Back
Top Bottom