pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Boxer

    Nauza pikipiki yangu ya kutembelea, ipo vizuri sana. Price; 1.5m Location; Mwanza Buzuruga Karibu Pm
  3. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Nikiacha Pikipiki kwa muda mrefu bila kuiwasha itapata shida?

    Habari zenu wanajamvi. Nina pikipiki yangu aina ya SANLG huwa naitumia tu katika mizunguko yangu ya hapa na pale ila sasa nina dharula nitakaa nje ya hapa home kama mwezi na wiki mbili hivi. Najiulza nikiipaki ndani haiwezi kuharibika kwa sababu ya kutoendeshwa muda mrefu? Naombeni elimu juu...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Vijana 34 wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki

    Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu, amesema kuwa watu hao wamekamatwa katika maeneo...
  5. Nibiru

    JamiiForums Tanzania Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

    Salaam wakuu, Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible. Msaada wenu please.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  7. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa. Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa...
  8. Prodigy Oligarchy

    JamiiForums Tanzania Naomba nifahamishwe kuhusu biashara ya kuuza Pikipiki na Bajaji

    Habari za leo, Kumekua na thread nyingi zinazohusiana na biashara ya bajaj na pikipiki. Nyingi zikijikita katika mambo ya uendeshaji wa vyombo hivyo na uuzaji wake wa spare parts. Lakini sijakutana bado na thread inayoongelea kuhusiana na bei za vyombo hivi (uhakika) maduka vinapouzwa n.k...
  9. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara ya kuosha Magari na pikipiki

    Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari. Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii Je, ina mabaya gani au shida yake Mtaji wake...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zinazouzwa Dar es Salaam ni za magendo au halali?

    Habari zenu ndugu wananchi, Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali Kuna jambo moja linanipa utata, pikipiki nyingi zinazowekwa mtandaoni kwa ajili ya biashara ni moya na bei yake ni ya chini sana Nyingi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi Wakamata Watuhumiwa 161 wanaojihusisha na wizi wa vifaa vya magari, pikipiki na uvunjaji

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI. Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mafundi pikipiki mwaweza geuza pikipiki kuwa Pickup

    PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
  13. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

    Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi Fekon SanLG King Lion T better
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu waliokuwa kwenye pikipiki waua watu zaidi ya 50 Nigeria

    Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika vijiji vya mbali. Wakazi wa Magami waliiambia BBC kwamba watu wenye silaha kwanza walishambulia kijiji...
  15. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki 2 zinauzwa kwa bei rahisi

    Pikipiki hizi zinauzwa Kila moja ni Tshs 2.2milion Location Dar es salaam Call 0744033555
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Watuhumiwa 56 Wakamatwa kwa wizi wa magari 12 na pikipiki 28

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 56 KWA WIZI WA MAGARI NA PIKIPIKI, MAGARI 12 YA WIZI NA PIKIPIKI 28. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika kipindi cha kuanzia Mwezi Machi hadi Aprili 2021 limefanya oparesheni ya kupambana na wahalifu vinara wanaojihusisha...
  17. King snr

    JamiiForums Tanzania Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  18. kaffir

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used

    Habari wana jukwaa, Natafuta pikipiki uesd aina ya sanlg. Napatikana Dar. Mawasiliano karibu PM
  19. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya mkataba kama upo Dodoma

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba.. Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja. NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
  20. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Kwa mkazi wa Dodoma: Njoo nikupe pikipiki ya mkataba

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba.. Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja. NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
Back
Top Bottom