Wizi wa pikipiki wilaya ya Bagamoyo

Mar 13, 2014
9
2
Polisi Bagamoyo tusaidieni jamani pikipiki zinaibiwa kila siku, madereva wanaumizwa tunawaomba mchukue hatua stahiki kwa wahusika uhalifu unazidi siku hadi siku siku.
 
Kila siku huwa nawaambia maboda boda ya kwamba hizi ni zama za uwazi na technology,yaani leo mwaka 2020 mnalia kuibwa kwa piki piki zenu wakati kuna GPS!acheni uvivu fungeni GPS ni bei nafuu na wekeni mtego lazima mtamdaka na atakuwa mfano
 
Naona hata waweka gps wenyewe hawapo sharp kwa sababu wezi huwa wanaangalia sehemu ambazo watu hawafungi gps ko hapa ilitakiwa wanaohusika na gps waende wenywe maeneo hayo kutoa elimu kuhusu hizo gps maana wengine hata hawajui kama zinatumikaje
 
Back
Top Bottom