Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda

Mo.PNG
========
HK.PNG
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya tweeter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho ajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu Uteuzi uliofanywa na club ya Simba akidai taratibu azijafuatwa.

Baadaye Mo anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
Mwaka huu tutaona kila rangi!
 
kwa wasiojua kinachoendelea niseme kwa ufupi ,masaa machache yaliyopita simba imetangaza CEO mpya anaitwa Barbra Gonzalez sasa bwana waziri wa utalii katuma kama tweets tatu za vitisho na kebehi za kutosha huku akimlaumu Mo ,kasema mengi sana naona MO kashindwa kuvumilia karudisha dongo la uhakika KUMBE JAMAA ALITAKA KUKOPA PIKIPIKI? nafkiri alipata maana wajumbe kule jimboni walipewa.

duuuu.jpg
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
 
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.

Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
HASIRA za kigwangwala siyo upendo kwa simba ni hizo pikipiki....mtu hajaanza kazi keshaanza kulalamika mbona yeye kasomea afya yuko utaliii,hata mwanamama wa chelsea hakuwa na uzoefu wa sports lakini leo kawazidi hata kina ed woodward
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?

Kigwangala bana mara nalima maelfu ya ekari za mchele,mara nina ng'ombe maelfu, kila siku anaimba imba ooh vijana hawana ajira sababu they don't think out of the box kumbe yeye mwenyewe ombaomba tu.,mafao yake ya ubunge hataki kuyanunulia Pikipiki za wajumbe ila hela za MO ndio za kufanyia hayo.
 
Back
Top Bottom