pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hazard CFC

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki aina ya boxer BM150 inauzwa

    Boxer bm150 Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji bei Tsh 680,000 0658643636 Mbezi Magufuli stand
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

    Habari wana jamvi. Kuna baadhi ya KAMPUNI za kukopesha BODABODA (mkihitaji sana nitaitaja) kuna tabia ya DHULUMA, utapeli au UWIZI naweza sema inafanya kwa vijana wa tanzania. Kila kijana anaye kopa PIKIPIKI kwenye hizo KAMPUNI pale anapo maliza deni, watu 9 kati ya kumi ambao nimekutana nao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aanza ziara Lindi kwa kutekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu. Agawa pikipiki kwa wanufaika

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anaeendelea na ziara ya kikazi mkoani Lindi katika kukagua na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maji ameanza kwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alioifanya tarehe 08 January 2024 Lindi. Waziri Aweso alianza...
  4. chris emex

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki ya TVS inauzwa

    TVS DKS 1.35m Maelewano yapo Piga 0628 880 380 Iko poa sana Maelewano yapo, wahi hii offer kuicheki bureeee Engine haijaguswaa.
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya sh 500,000/= nayo ni pikipiki?

    Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used. Sikuwahi kumiliki pikipiki. Lakini nilipoziona leo mtandaoni, kwa jinsi zilivyo bei "chee", nimepata wazo la kuinunua...
  6. HB.com

    JamiiForums Tanzania Wakuu Hivi injini ya pikipiki inapakwa rangi?

    Jamani msaada, nina ka TVS kangu kamechakaa sana je naweza nikakapaka rangi na ni rangi gani nzuri? Nataka nipake sehemu zote injini hadi chassis
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Tarimo Akabidhi Pikipiki Nne kwa Jeshi la Polisi

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa kukabidhi Pikipiki nne ili kuongeza urahisi wa kusimamia ulinzi na usalama . Akikabidhi Pikipiki...
  8. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari?

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  9. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kuazimana gari au pikipiki yako, tukio gani limewahi kukukuta ulipoazima chombo chako cha moto?

    Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari. Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  12. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani naweza kununua pikipiki aina ya yamaha Mwanza?

    Wakuu salama? Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used. Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi. Karibuni wakuu
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu biashara ya Vipuli vya Pikipiki

    Habari Wadau mwenye uelewa kidogo kuhusiana na hii biashara tupeane mawili matatu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Sijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu. Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?
  16. Issuna

    JamiiForums Tanzania INAUZWA PikiPiki Boxer 125cc inauzwa 1.8m, ina Mwaka full document

    Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa. Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe. Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA CONTACT : 0695697796...
  17. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kelele za pikipiki mjini Shinyanga imekuwa kero

    Habari wadau Ni tabia inayo shamiri kwa hapa Shinyanga wanao endesha bodaboda baadhi yao japo ni wengi Wamekuwa na tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kupelekea vyombo ivyo kutoa sauti zinazo leta kelele , Serikali ngazi ya mkoa tabia hii imekuwa ni kero Niwaombe viongoz wetu mjaribu...
  18. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia. Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
  19. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  20. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mkipotelewa na funguo za pikipiki huwa mnafanyaje?

    Leo nimepotelewa na funguo za pikipiki na nilikuwa nao mmoja tu sasa naomba wana JF mnisaidie mbinu mnazozitumia ili kuendelea kutumia chombo hicho cha usafiri
Back
Top Bottom