Wakuu Hivi injini ya pikipiki inapakwa rangi?

Ndio mbona nyingi tu zimerudiwa rangi Ila Mara Nyingi zinapakwa Ile Ile ya silver.. Usije paka ya kijani kataonekana kametoka kijijini huko ndani ndani na mwanakijiji ndio wewe
 
Angalia tu usije athiri upoaji wa injini...... maana mainjinia wake wamezingatia injini ichemke na ipoe pia

Ukizingatia injini za kawaida hizi zinapozwa na hewa tu bro
 
Ndio mbona nyingi tu zimerudiwa rangi Ila Mara Nyingi zinapakwa Ile Ile ya silver.. Usije paka ya kijani kataonekana kametoka kijijini huko ndani ndani na mwanakijiji ndio wewe
Akipaka ya kijani itaonekana alipewa msaada na SISIEM kipindi cha kampeni..
 
Back
Top Bottom