pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre wa Jimbo la Bukoba Afariki kwa Ajali ya Pikipiki

    TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa...
  2. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Bajaj imetoa toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125 HD

    Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada. Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter. Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Wewe Askari Uliyezimikiwa Pikipiki Barabarani Punguza Ubabe

    Ujumbe huu ni kwa wewe askari uliyezimikiwa bodaboda yako mchana maeneo ya 88 Gloness Morogoro leo mchana, ulijua kabisa chombo chako hakina mafuta ya kutosha still ukaingia nacho barabarani, kimekatikiwa mafuta ukagandisha nacho barabarani ati hata wenye magari wakupishe, baada ya honi kuzidi...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha watu. Hakuna mwana CCM aliyehongwa, CCM inauwezo wa kununua hizi pikipiki

    Mnapotosha kila mahala. Kisa tu mnaona picha ya Rais Samia.
  6. Tachu hano

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  7. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

    VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6. Wadhamini wanatakiwa watatu. ZINGATIA Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya pikipiki za kike

    Wadau Mimi nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye maada. Nimekuwa nikipata tabu Sana kupata usafiri wa pikipiki kwa ajili ya mtu wañgu wa kike ili imrahisishie kufika kazini kwa wakati, nimetembelea mitandaoni nimekuta hiz zinaitwa click za kuchaj pamoja na za petrol nikawa sijasuuzika nafsi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya vipuri vya pikipiki, karibu tukuhudumie

    Kwa mahitaji ya spea za pikipiki aina zote, brand ya winner kwa Bei ya jumla wasiliana nasi kupitia 0747333320 tunapatikana kariakoo mtaa wa mafia na swahili. Kwa mikoani TUNATUMA nchi nzima na nchi jiran
  11. ChampN199

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki. Nini faida na hasara zake?

    Habari Wana forum, Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
  12. X

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki Boxer BM 125 Inauzwa

    MODEL: Boxer MODEL NUMBER: BM 125 LOCATION: Tegeta, DSM Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa Ina registration card BEI: 1,100,000/= maongezi yapo NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na watu wanaojiita maafisa wa bima Kwa waendesha pikipiki wilaya ya Mbogwe kinapaswa kuangaliwa kina sasa

    Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia. Ukusanyaji wa hela za...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

    Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji. Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu...
  15. Mchoraji Cyper255

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

    Habari Wakuu, Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town. Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo. Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  17. Lomy_5

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

    Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi. 1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa. Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

    Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs...
  20. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

    Tukutane hapa , Kwa mawazo, Changamoto Michongo n.k
Back
Top Bottom