pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imenunua Pikipiki nchi nzima na kuweka nembo ya Samia. Fedha za wastaafu na stahiki za watumishi hazipo

    CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
  2. Tanki

    JamiiForums Tanzania Kuna pages huko Facebook zinauza pikipiki hadi 700,000 , 800,000 , 1,000,000 n.k hivi hizi ni nzima????

    Unakuta picha ziko vizuri kabisa kiasi kwamba mtu hadi unajiuliza mbona kama muonekano na Bei haviendani. Unakuta chombo inauzwa 800,000, arafu muuzaji anasema chombo Ina documents zote. Na unakuta ni ofisi kabisa ya kuuza pikipiki used. Binafs mashaka yangu ni Bei zao. Kwa wajuzi naomba kujua...
  3. MomB

    JamiiForums Tanzania Miliki pikipiki yako ya TVS

    Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana. Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu. Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu. Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
  4. Dance Macabre

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

    Wakuu. Kwa wapenzi wa pikipiki kwa matumizi binafsi, unapendelea aina ipi? Au umewahi kumiliki aina ipi? Yepi mazuri na mabaya ya iyo aina? Ulinunua wapi na bei vipi? Baadhi ya aina ambazo mimi nimekutana nazo na kua na experience nazo kidogo ni hizi chache: Sport Bikes Nazipenda muonekano...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zenye picha ya Rais Samia ni upotevu wa fedha za maskini na alama ya matumizi mabaya uchaguzi ujao

    Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima! Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi? Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki za "SSH 2025" zimetoka wapi?

  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Miaka nenda rudi sina hata pikipiki na pesa huwa napata nyingi tu. Huwa najiuliza nini kinatokea. Yawezekana napigwa kipapai?

    Wakuu niambieni Ajira ya kwanza nimeajiriwa 2017 mshahara 780,000 bila makato Kazi ya pili 2018 Mshahara 1.5M ukitoa makato 1M net mfukoni, bado safari laki 6 kila wiki mbili Kazi ya tatu 2020 Mshahara m2.3 Ukitoa makato 1.6 M marupu rupu 70k kwa wiki KAZI IMEISHA SASA LAKIN HAYA YOTE SINA...
  9. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya Samia 2025 nianzie wapi

    Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mimi nina shida kweli ya usafiri ningepata hiyo pikipiki hakika itanisadia kwenye mambo yangu mengi sana. Ama hakika mama anafanya Kazi kubwa sana kuliongoza taifa na kutungaanisha wananchi, maendeleo yanaoneka, kila kijiji umeme na maji ya Bomba...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kuwa na pikipiki nyingi

    1. Kilimanjaro 2. Kagera 3. Tanga 4. Ruvuma 5. Manyara
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya mkataba

    Habari, Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt. 0617146950
  12. Mansakankani mussa

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Babati

    Habari zenu wakuu, Naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka Dar kwenda Babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulikuwaje baada ya kufika. Natangulza shukrani kwenu.
  13. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Benki yatoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi, RC Makonda awakabidhi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Pia soma: LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024 Akikabidhi pikipiki...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, ufundi wa pikipiki unalipa?

    Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
  19. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa pikipiki

    Kama mada tajwa hapo juu ilivyo Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
  20. NecZec

    JamiiForums Tanzania Nauza Pikipiki Honda Ace 125 Individual

    Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
Back
Top Bottom