Kelele za pikipiki mjini Shinyanga imekuwa kero

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Habari wadau

Ni tabia inayo shamiri kwa hapa Shinyanga wanao endesha bodaboda baadhi yao japo ni wengi

Wamekuwa na tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kupelekea vyombo ivyo kutoa sauti zinazo leta kelele , Serikali ngazi ya mkoa tabia hii imekuwa ni kero

Niwaombe viongoz wetu mjaribu kuwapa elimu hawa vijana wa bodaboda pengine wanaweza kubadilisha ama sio kuacha kabisa haka kamchezo
 
Mara nyingi nikiamua kulala kwenye hotel nachagua nje ya mji, katikati ya mji kama una hasira ya karibu utakua una tukana usiku mzima kwa kukosa usingizi kunakotokana na back fire za exzost za hizo pikipiki

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Hiyo tabia imeshamiri kila sehemu hatua zisipo chukuliwa watakuja kuuwa watu kwa mshtuko
Binafsi mm naishangaa sana Nchi yangu ya Tanzania pamoja na utawala wa hii nchi yaan ni mambo ya ajabu sijui tunaelekea wapi yaan mijini ni makelele tu tu ya ma bar usiku kucha bado huo mchana ni ma pikipiki kupiga kelele tu ..


Ivi hata huo utalii unaosemwa uendelezwe kwa style hiii ? Majuzi wa Tz baadhi walifika Kigali walijionea wenyewe
 
Back
Top Bottom