pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kadi yangu ya pikipiki, nifanyeje?

    Wana JF, Kwanza kabisa wasalam. Wakuu nna shida kadi yangu ya pikipiki imepotea kwenye mazingira ambavyo sikumbuki hata mara ya mwisho nilikua nayo wapi. Pikipiki yenyewe nilinunua Kwa mtu hivyo jina pia sio langu lakini Kwa usalama zaidi naamini pamoja na hili ningekua nayo mkononi usalama...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za angani zingalipo Tanzania?

    Zinaitwa HANG GLIDERS. Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate. Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena. 1. Bado zipo Tanzania? 2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo? 3. Gharama ya kununulia na...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

    Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki binafsi naomba mchongo

    Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu. Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya...
  6. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Jinsi pikipiki za CCM zilivyowagawa wanaccm majimboni

    Siku za hivi karibuni tumeona makatibu wa chama kwenye kata wakipewa pikipiki maeneo mbalimbali Tanzania Hata hivyo mgao huo umejenga chuki na makundi kwa wanaccm wenyewe kwa wenyewe Madai ya chuki Wengi wanadai kuwa kitendo cha kuwapa baadhi yao pikipiki ni cha ubaguzi kwani na wao ni wanaccm...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
  8. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mbaraza Kachebonaho akabidhi pikipiki tatu kwa UVCCM Temeke

    Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE. Katika Hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika Aprili 14, 2024 katika Ofisi za CCM (W) TEMEKE , Ndugu...
  10. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi. nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  12. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  13. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spare za baiskeli

    Tunauza spare za pikipiki aina ya boxer original na HERO kwa jumla na rejareja Bei zetu ni nafuu Sana na tunatuma mikoani pia. Kwa mawasiliano tupigie 0782197274
  14. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Pikipiki kujiresi

    Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha inajiresi sana.Ukitembea kidogo inakaa sawa lakini ukisimama shida inarudi palepale.
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Guta zilizofungwa engine za pikipiki ni vyombo vya moto?

    Je, Guta zilizofungwa engine za pikipiki ni vyombo vya moto? Na je, ni kwanini hazisajili na kupewa namba za usajili?
  16. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
  17. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Napata wapi pikipiki ya laki saba (700k) hapa Dar?

    Wakuu Naomba mnifahamishe machimbo ya pikipiki za Bei ndogo hapa town (below 700k ), nataka iwe inaniingizia side income per day.
  18. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu (watu) yaani used nimepata tatu zote tvs. Moja namba D sikusoma speedometer ya pili namba C...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na pikipiki 32 za wizi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumkamata Omari Mlopa (28), mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32, zilizoibiwa na baadae kuzifanya zao kwa kukodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Barabarani yakabidhi magari na pikipiki kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya

    Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama. Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
Back
Top Bottom