WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.
Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
Katika sehemu nilizowahi kufanya biashara nimewahi kukutana na haya,
Sehemu ya kwanza kulikuwa na frem laki 3, mmama flani akaja akaweka vi choclate na vineti vya mbu yani hata wateja kwenda pale ni nadra, ila kila siku anakuja na gari yake ya apha na ananunua chakula kwa order ugali kuku...
Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli.
Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
Habari wadau.
Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje.
NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
Hallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda .
Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya...
Siku hizi imekuwa biashara kubwa ya kuleta utajiri mtu from nowhere kuibuka na kujiita mtume au nabii. Wako wapi watumishi wa kweli wasiodai pesa kwa visingizio vya zaka na sadaka?
Pia unawezeza kusoma link hii niliyokutana nayo leo mtandaoni...
Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake
Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka.
Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake.
Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe.
Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake.
Chanzo...
Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu.
Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu!
Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
Habari wadau.
Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank.
Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. .
Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso.
Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu.
Hizi hadithi za...