pesa

  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania fanyeni kazi na mtafute pesa. Maisha sio Magumu

    Boniface Simbachawene amewachana live watu waache visingizio na watafute pesa kwa kufanya kazi zaidi kwani maisha sio magumu Bali mahitaji ya pesa yameongezeka. My Take Watu waambiwe ukweli hakuna kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa.😂😂 ===== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Malengo bila Pesa ni Porojo: Motivational Speakers Acheni Kulaghai Vijana

    Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie. Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk. Motivational Speakers...
  3. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ileje lipeni pesa za kujikimu

    Ndugu wanabodi. Hali ni tete kwa sisi ajira mpya kada ya elimu na afya kwenye halmashauri ya wilaya ya Ileje. Fedha za kujikimu zimeshatolewa, waraka umetoka, wamekaa vikao kuzigawa katika vifungu kwa mujibu wa taratibu zao. Pesa ziko tayari yapata wiki mbili nyuma. Tunaombeni mtulipe huku...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  6. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama Dhahabu ni pesa, kwanini tupokee mgao wa makaratasi Badala ya Dhahabu?

    Zimbabwe imetengeneza sarafu ya Dhahabu yenye thamani sawa na USD 900 baada ya pesa Yao kutoimarika. Sie Watanzania tumebinafsisha migodi yetu, wachimbe pesa Kisha kutupa mgao wa makaratasi, tena Kwa makadirio na wakati mwingine wanatangaza HASARA na kubadili Majina Ili kukwepa Kodi mf Kutoka...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wakosa madaraja, washangazwa pesa za madaraja zilizotoka halmashauri kurudishwa tena halmashauri

    Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili. Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

    Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake. Miaka mitatu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  14. SirLuke

    JamiiForums Tanzania Kosa kutumia pesa usiyoitambua

    Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
  15. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
Back
Top Bottom