sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy.
Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira.
Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda
Rais wa sasa nae ni kama marudio ya style ya uongozi wa Kikwete, GSM imerudi kwa kishindo hakuna kifani, Pesa anazovuna ni nyingi mno, biashara zinatapika pesa
Kwa hali hii navyoona ni mpaka 2030 mwendo ni huu huu maana mpira ni pesa na hizo pesa GSM anazichapisha!! kabla ya 2027 Yanga itakuwa inalipa wachezaji mishahara ya milioni 50,
Anguko zito linakuja 2031.