Unasubiri upate pesa, maisha mazuri ndo uoe?

Unasubiri upate pesa, maisha mazuri ndo uoe?

chaz beezz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
217
Reaction score
877
Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.

Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji

Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi? Anzisheni maisha

Unaweza kuoa sio mpaka uwe na pesa. Unaweza kuoa kwa kutumia baraka na ushiriki. Unaweza kuwa msaada wa watu wengine na kuwa na mtoto.

Vijana wengi wanachelewa kuoa kwa kisingizio Cha life hardship lakini hawajui kuna baraka nyingi wanazifunga. Ila shida ni malezi ya vijana Wengi sasa hiv wanachelewa kukomaa akili.
 
Screenshot_20230513-040358~2.png
 
Acheni kutudanganya sijui baraka ....mtu hawezi kumudu hata Milo mitatu pekee yake ,kiufupi maisha yake pekee yake yanamchapa hatarii , Bado unataka aongezee mwanamke,mbaya zaidi wanawake wa Sasa mentality yao ni kuolewa ili wahudumiwe na kupewa kila kitu ...

Huna pesa ndoa huwezi ,hayo mengine ni motivation speaker na kujazana ujinga ...

Oa kama huna pesa uone moto wake kudadekii [emoji23]
 
Ni noma sana mkuu,, yy na andrew tate wana mindset zinazofanana
Yaaah ahahaha hata tate unamjua, ahahaha feminist hawampendi, Kile kitabu cha the setup kuna jamaa anaitwa clarence huyo nae alikuwa noma RIP kwake, dan kapata hela kwenye poker ila anasema unaweza pata hela popote na lijamaa ni ndio inasemekana li playboy la dunia, haya majamaa ni hatari sana...
 
Acheni kutudanganya sijui baraka ....mtu hawezi kumudu hata Milo mitatu pekee yake ,kiufupi maisha yake pekee yake yanamchapa hatarii , Bado unataka aongezee mwanamke,mbaya zaidi wanawake wa Sasa mentality yao ni kuolewa ili wahudumiwe na kupewa kila kitu ...

Huna pesa ndoa huwezi ,hayo mengine ni motivation speaker na kujazana ujinga ...

Oa kama huna pesa uone moto wake kudadekii [emoji23]
Mkuu kweli, huwez kuongeza matatizo, jamaa wanadanganyana sana baraka mtu unazipata muda wowote sio lazima uoe man... Huna hata kumi ukachukue mtoto wa watu uje kumlaza njaa si unapata dhambi tu za bure? Achana na habari ya wanawake kama hauna pesa
 
Yaaah ahahaha hata tate unamjua, ahahaha feminist hawampendi, Kile kitabu cha the setup kuna jamaa anaitwa clarence huyo nae alikuwa noma RIP kwake, dan kapata hela kwenye poker ila anasema unaweza pata hela popote na lijamaa ni ndio inasemekana li playboy la dunia, haya majamaa ni hatari sana...
Aseee hao ndo ma role model sasa mkuu,

Wanafundisha jinsi me anavyotakiwa kuishi, sio kuwa simp tu kila wakati no way

Daah kama tate kila siku nasikiliza video zake
 
Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.

Pesa zipi ukipata ndio utaoa,?
na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa ?
inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji

Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi?.

Anzisheni maisha

unaweza kuoa sio mpaka uwe na pesa. Unaweza kuoa kwa kutumia baraka na ushiriki. Unaweza kuwa msaada wa watu wengine na kuwa na mtoto.
Vijana wengi wanachelewa kuoa kwa kisingizio Cha life hardship lakini hawajui kuna baraka nyingi wanazifunga. Ila shida ni malezi ya vijana Wengi sasa hiv wanachelewa kukomaa akili.
Sio sawa kwamba vijana wa kitanzania hawapendi kuoa ukweli hakuna mwanamke mwenye ndoto ya kuwa na mwanamme masikini mapenzi bila pesa hayadumu gharama za kumhudumia mwanamke tangu uchumba mpaka unakuja kumuweka ndani bila hela hutoboi
 
Back
Top Bottom