Kichwa kinajieleza.
Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are doing.
Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account kutoka kwenye account ya internal ya hizo bank...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia kuhitimu.
Mkuu wa chuo anawaambia hataki kuulizwa kuhusu bima, waombee wasiugue au wajilipie...
Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0.
Lakini wanadai pesa ipo haijatoka ila kuna shida ya mtandao leo siku ya 7 na ni pesa ya matibabu Mama angu kalazwa sina pesa nyingine...
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
hali
hali ya maisha
hatujapewa pesa ya kujikimu
januari
kujikimu
maisha
mishahara
mpya
mwaka
ngumu
pesapesa ya kujikimu
shida
tuna
wilaya
wilaya ya chemba
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima.
Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
Watu wengi hawaishiwa fedha kwa sababu hawapati kipato…
Bali wanaishiwa fedha kwa sababu hawawezi kusema HAPANA.
Kama hutalinda pesa zako, mtu mwingine atazitumia kwa niaba yako.
Hivi ndivyo unavyoweza kubaki na udhibiti:
• Acha kutangaza kipato chako
Ukikaa kimya, matarajio ya watu...
Mtu umetoka hapa⤴️
Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️
Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake
2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea.
Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha...
Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni mnaendaga kusoma nini?
kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani?
Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao,
Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
baada
bila
dalili
dar
dar es salaam
dodoma
ila
kiwango
kuandamana
kuendeleza
maendeleo
mapato
mikoa
nchi
oktoba
oktoba 29
pesa
sana
sawa
tena
umuhimu
vyanzo
vyanzo vya mapato
waafrika
zanzibar
zao
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
awamu
bei
biashara
halali
hata
hii
huna
katika
kazi
kazi halali
kubwa
mafuta
mapambio
mitandao
mtu
nchi
pesa
position
sana
serikali
tanzania
teuzi
uzuri
wakosoaji
wanajua
wanaofanya
wengine
wewe
wizi
wote
Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
Ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka
Ila hiyo ndo list yangu ya mda wote
“Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi
Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
Ok, what is really special mfano hadi ichezewe afya ya akili kama mtoto mdogo.
Je ni makebo yake makubwa?, namna anavyokwea mnazi? Rangi yake utafikiri anaoga na maziwa?
what is really special hadi unajua unachezewa akili lakini bado umo?
Unalilia kwa demu ambae kila jioni a anajifanya kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.