Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake
2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao wanapeleka Hela kwa mwenyekiti ili waendelee kushusha vitunguu kwenye magari na Bei waitakao wenyewe
3. Wazibia vilemba wa magunia ya vitunguu wanapeleka Hela kwa mwenyekiti wa soko ili aendelee kuwapangia Bei ya kuzibia vilemba vya magunia
4. Watu wa matulubai nao wanapeleka Hela kwa mwenyekiti wa soko
5. Wabeba magunia ya vitunguu (makuli) wanapeleka Hela ili awapandishie Hela ya kubebea magunia ya vitunguu. (Wameshatoa Hela, Kila wiki mwenyekiti anapokea hela)
6. Aliomba Hela kwa wapiga leki, walivyonyimwa akatangaza kupiga leki ni 500 kwa gunia 1. Alimwambia mpiga leki Mmoja (jina linaanzia na M ni msukuma) akusanye Hela kwa Kila mpiga leki 2000 alipokataa alimwambia asije sokoni mpaka siku 3. Mwenyekiti ana amri gani ikiwa soko si lake?
Soko la vitunguu ni Mali ya mwenyekiti au ni ya serikali? Kama ni ya serikali kwanini mwenyekiti anaomba hela kwa vibarua ili apange Hela ya kufanyia kazi na anamfukuza mtu yoyoye asifanye kazi? kumbuka hao ni vibarua na siyo waajiriwa.
Huwezi kufanya kazi ya kukodisha matulubai au kuuza neti bila kutoa rushwa kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu akuruhusu ufanye biashara.
Hela ambayo ingewasaidia washonaji, wazibia vilemba, washusha vitunguu, watu wamatulubai, wabeba mizigo (makuli) inaenda kwa mwenyekiti wa soko kumbuka hizo pesa anazopokea mwenyekiti ingewasaidia kuendesha maisha Yao hawa vibarua.
Mkulima akileta vitunguu sokoni ni lazima atumie turubai au matulubai ya sokoni (hata kama anayo matulubai yake), na pia kushusha vitunguu kwenye magari lazima watu washushe kwa Bei watakayo washusha mizigo kwasababu wanatoa Hela kwa mwenyekiti wa soko na anawapangia Bei ya kushusha.
Wakulima wa vitunguu wamepunguza kuleta vitunguu sokoni kwasababu ya ubabe, roho mbaya, chuki, dharau na kiburi Cha mwenyekiti wa soko na huenda watu wasilete tena vitunguu.
Fanya utafiti kipindi Cha 2020 -2023 vitunguu vilikuwa vingi Sana ila kwa roho mbaya, chuki na rushwa wakulima wamepunguza kuleta vitunguu sokoni 2024 mpaka 2026 vinakuja vitunguu vichache ndiyo utaelewa mwenyekiti anaenda kuliua soko la vitunguu Singida mjini
Viongozi waliopo Singida mjini tutatulie kero hii, mwenyekiti wa soko la vitunguu amegeuza soko kuwa la kwake.