masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,369
- 19,202
Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
Ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka
Ila hiyo ndo list yangu ya mda wote