pesa

  1. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  2. 650

    JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  4. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa ......... Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
  5. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Anne Kilango: Serikali ina Pesa, Madiwani waongezewe Posho

    Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini. "Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani

    Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani My Take Unaweka mayai yote kwenye kapu Moja la kuazima unategemea nini? Hata hizi chokochoko za Muungano Kuna siku kitakuja kuwalamba.
  8. ibrahim143

    JamiiForums Tanzania Naombeni Kazi ili nipate pesa. Sichagui kazi

    Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza pesa mm nipo..namb zang no 0634362673
  9. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kama Dhambi zako hazikuingizii Fedha achana na hizo Dhambi.

    Matendo yanayoonekana kama Dhambi lakini yanaingiza Pesa nyingi. Katika jamii yetu na jamii za kidini, kuna mielekeo ambayo inasifika kuwa ni "dhambi" lakini kwa kweli inaingiza pesa nyingi. Uelimishaji huu ni muhimu ili watu wajue ya kwamba si matendo yote yanayoonekana kuwa si safi kidini...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Aisee yani tulikopa mpaka nchi ya IRAQ na tuna daiwa pesa

    Hii nchi hipo siku tutasikia somalia tulienda kukopa pesa. Hapa nacho kiona tuna subiri majini nao waje kuleta shutuma zao nao walikopwa na huyu mama pesa. Hivi tumefikia steji mbaya sana na pesa zote zimefanya nini ?.
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Pesa ya likizo kisheria inatoka OC au mapato ya ndani?

    Naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na badala yake kuambiwa wajilipe kutoka kwenye OC ya ofisi? Naomba kufahamu kama huo ndio utaratibu...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi. Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
  15. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  16. Joanah

    JamiiForums Tanzania Mpangilio wako wa pesa ukoje?

    Hey people, Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-mwisho-wa-mwezi-uzi-kwa-wale-wanaopenda-kuweka-akiba-kutoka-kwa-experience-yangu.2343182/ Uzi bado
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Usikubali pesa ikupelekeshe au ikununue

    Ukivuka viwango vya kutokupelekeshwa na pesa ya mtu au kununuliwa na pesa u become a Beast ni rahisi sana kupoteza heshima na utu wako pesa ikikuendesha
  18. bless on

    JamiiForums Tanzania Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kutafuta pesa na kuzipata ni swali la lazima kwenye mtihani wa mwanaume 😊 ukiliruka basi utafeli mtihani wote

    KUTAFUTA PESA: MTIHANI WA LAZIMA KWA MWANAUME. Kwenye mtihani wa maisha ya mwanaume, kuna maswali ya hiari na la lazima, Swali la lazima ni moja tu: Kutafuta pesa na kuzipata. Hili si swali la kuahirisha kwani ukiliruka basi umefeli mtihani wote. Heshima nyumbani, sauti kwenye jamii, na hata...
Back
Top Bottom