pesa

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Kwimba wamelipwa fedha za kujikimu, mbona Walimu wa ajira mpya bado?

    Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu. Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo? Tunaomba mamlaka husika...
  2. Masweeter

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

    Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
  3. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  5. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

    Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
  6. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa TV na Radio nchini Tanzania hawataki kucheza nyimbo za CIVILIAN-COIN au kwa kuwa Hana Pesa za Promotion? Je, nyimbo za mamtoni?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Watumishi wa Halmashauri kulazimishwa kuchangia pesa za Mwenge ni kero kubwa

    Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge. Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato vyao ni vya chini sana. Usipolipia unahamishwa/unaitwa ofisi ya mkurugenzi ukajieleze.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabovu ya pesa na nguvu nyingi msionekane kuwa mjakosea kwa ufupi mna mawenge

    Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto. Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
  9. H r n

    JamiiForums Tanzania Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

    Habari wakuu. Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO POSHO ya KUJIKIMU: Halmashauri ya USHETU, Shinyanga, Imewalipa waajiriwa wapya pesa PUNGUFU

    Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga. Ambapo watumishi wapya walio chini ya Idara ya Afya na Lishe wamelipwa pesa pungufu tofauti na miongozo ya...
  11. Adryz

    JamiiForums Tanzania Ila waislamu nchini wana pesa ndefu

    Fikiria tu hii kashfa mpya wanakwapua shilingi 600 kwa kila lita ya mafuta. Piga hiyo mahesabu kila lita ya mafuta nchini sh 600 na haiendi hazina. Na hizo hela zinahifadhiwa kwenye account za kiislamu ambazo riba ni haramu. Ndio maana kobaz wanaongoza kwa utajiri nchini. Al-mukheef Jagina...
  12. feyzal

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kwamba pesa mtaani hamna au?

    Salaam. Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana. Wazee ni kwangu...
  13. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa pesa ya kujikimu halmashauri ya Nyang’hwale

    Mnamo tarehe 4 Juni 2026, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitoa barua iliyoonesha kiasi cha fedha zilizotolewa kwa ajili ya malipo ya posho za kujikimu na nauli kwa watumishi wapya wa afya walioajiriwa kati ya Januari 2025 na Aprili 2026. Katika barua hiyo, Wakurugenzi wa Halmashauri walitakiwa...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  16. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  17. Street brain

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

    Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
  18. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  19. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
Back
Top Bottom