Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 580
- 546
Watu wengi hawaishiwa fedha kwa sababu hawapati kipato…
Bali wanaishiwa fedha kwa sababu hawawezi kusema HAPANA.
Kama hutalinda pesa zako, mtu mwingine atazitumia kwa niaba yako.
Hivi ndivyo unavyoweza kubaki na udhibiti:
• Acha kutangaza kipato chako
Ukikaa kimya, matarajio ya watu hupungua.
• Weka mipaka iliyo wazi
Usipoweka mipaka, watu watakuwekea wao.
• Usigeuke “mfuko wa dharura” wa kila mtu
Saidia mara kwa mara, si kuwa tabia ya kudumu.
• Tofautisha kusaidia na kuharibu (enabling)
Kama msaada haubadilishi tabia zao, unakuumiza wewe.
• Tengeneza “kikomo cha kutoa”
Ukifikia hapo, basi. Hakuna hatia.
• Jifunze kusema HAPANA
Huhitaji maelezo marefu.
• Jenga utajiri wako kwa siri
Kadiri watu wasivyojua, ndivyo wanavyokuomba kidogo.
Mwisho wa yote:
“Mustakabali wako wa kifedha hauwezi kudumu
kama wewe ni mpango wa dharura wa kila mtu.”
Dr. Zack ✍️