WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingi
pesapesa nyingi
sana
wilaya
KAMA MWANAMKE HAJAKUOMBA PESA USIJIPENDEKEZE KUMPA. KUOMBA NI SEHEMU YA KUJISHUSHA KWAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Usipendi kujiongeza kwenye ujingaujinga. Mpe hizo hela mama yako au Baba yako kama yupo kama unajihisi unakiherehere. Au kama ni wale wakujipendekeza jipendekeze kwa...
Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao.
Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How?
Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji yetu, sasa hii chapa ya mnyama itatumikaje? Nikaona ebu tusubiri labda ni nyakati ambazo sisi tutakuwa...
Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa"
Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia...
Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥
Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali.
Hakuna mchezaji wa...
Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea...
Inasemekana Majambazi yakiwa na bunduki yamevamia maduka ya fedha maarufu kama M pesa na kupora mamilioni ya fedha.
Tukio hili limetokea Katoro hapo jana siku ya tar 10 majira ya saa mbili usiku.
My take; Majambazi yanapalia timing Katoro sababu ya watu wa katoro kujionyesha kuwa wana hela na...
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India ...
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,
kuna fursa nyingi huko...
Habari,
Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store...
Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital.
Baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital.
Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri wa sanii na wemepeleka hospital sijui ya nani.
Subirini muone kuanzia huu uzi mpaka mkifika 2030...
Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa
Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume
Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza
Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.
Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapa 👉Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania wanaotoa zawadi za fedha taslimu katika sherehe mbalimbali kuacha utaratibu wa kutupa noti na badala yake kutumia mifumo ya malipo ya kidigitali ili kulinda ubora wa fedha zinazotumika Nchini.
Hayo yamesemwa...
Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia.
My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka...
Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao.
Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
Anonymous
Thread
ila
kubwa
maduka
manispaa
mbele
pesa
sababu
sana
shida
taka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.