pesa

  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jux alivyomwaga pesa kwenye harusi ya Peller.

    Usiku wa kuamkia leo mwanamzuziki Jux pamoja na mkewake Priscilla walihudhuria harusi ya streamer mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Peller akifunga ndoa na mkewake Jarvis. Soma zaidi:tofauti kati ya harusi za Nigeria na Tanzania Watu mbalimbali mashuhuri walihudhuria harusi hiyo akiwemo staa wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Mkong'oto Umewaingia kisawasawa na ma sponsor wao Iran wamebanwa hawana pesa, Hamas yasema ipo tayari ku surrender,

    Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
  5. Etwege

    JamiiForums Tanzania Anayejenga nyumba ya kuishi anazika pesa,je aliyepanga apartment analipa kodi kwa dola anafanyaje?

    Huwa kuna mjadala mkali sana kwenye jamii wa kumsema na kumsimanga mtu anayejenga nyumba ya kuishi kuwa anazika pesa zake lakini hapohapo jamii inampongeza na kumuona mtu wa maana sana mtu anayejipositi kwenye apartment kali anayolipa kodi kwa dola. Kiuhalisia mtu aliyepanga na kujisifu kukodi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi katika Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama wamekuwa kero kwa Wananchi, tunaomba msaada

    Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  8. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

    Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe. Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa. Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa. Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora, Ikiwa unaimani ya ufanisi...
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

    Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake. Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50. Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi...
  10. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kumiliki pesa na kuabudu pesa = wahenga walisemaje

    Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake muabudu pesa ataua ndugu kupata pesa, atafukuza ndugu badala ya kusaidia
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Njoo Upige Pesa...

    Nimuda mrefu Tangu niweke andiko katika jamvi na jukwaa hili.Hii ni kutokana na changamoto na Purukushani za Maisha.Najua umekuja kwenye huu uzi haraka kwa sababu ya Kichwa cha Uzi. Lengo la UZI huu ni kujadili kauli ya 'Njoo Upige Pesa' kauli ambayo huwa inasisimua,inahamasisha na kuwapa watu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tunaomba watu wa Kipunguni walipwe pesa zao, Wananchi wanaibiwa, kesi za malalamiko zimejaa Stakishari

    Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania, Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi husika, Naomba niwaombe wananchi wa Kipunguni walipwe fidia zao, jamani. Mmeondoa baadhi ya watu, lakini sehemu zilizobaki sasa zimegeuka maeneo ya uchimbaji mchanga. Usiku, baadhi ya watu hugeuka majambazi. Kesi za malalamiko...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

    Watu wengi wakisikia "kupika kwa umeme," akili zao zinakimbilia kwenye yale majiko ya kizamani ya Coil (yale yanayowaka wekundu). Wanawaza bili kubwa za TANESCO na majiko yanayochelewa kupata moto. Lakini leo nataka nikutambulishe kwenye teknolojia ya Induction—ambayo ni rahisi, ina kasi, na...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  18. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
Back
Top Bottom