Nipo na mawili kwenye kichwa; kisimbuzi au pesa, na vyote sitaki kupoteza

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,404
3,566
Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari,

Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam wapo vizuri,

Kuna father anataka kuchukua nimeshamshauri achukue StarTimes, ila nataka nikamwambie abebe Azam, sasa nisije laumiwa badaye akapiga yowe anilaumu kumbe sijapata uhakika, sana mnipe ushauri ni huku ama kule, au hapa ama pale,

EATV TOGETHER TUNAWAKILISHA

nb: Santa claus ho ho ho ho merry Christmas and happy New year
 
Kama ni mfuasi wa Soccer ⚽ achukue Azam, ila kwa burudani za familia na dada wa Kazi achukue StarTimes
 
Lakini nimeona kuna tamthilia za sinema zetu pia je haifai kwa familia
Kila kisimbuzi burudani zote unazipata, soccer na tamthilia,
Ila Azam kaegemea Kwenye soccer na StarTimes Kwenye burudani za familia.
Chaguo ni la mtazamaji, na gharama za Kila kisimbuzi
 
kuwa makini na zile channels za Star Times zinazoonesha maigizo yote ya kifilipino, kuna mashoga humo ndani (na TCRA wako kimya ), kwa familia siyo nzuri
 
Back
Top Bottom