Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na Marafiki) hawa Wote GENTAMYCINE nimeapa kama si Wao basi Watoto wao au Wake zao lazima waje Kula mno MATUNDA yangu Mafanikio yangu ya Kimaisha pale Maulana / Mola AKINIUMBA Kimaisha.

Asante ya KAULI ambayo nimewapa na naendelea kuwapa kwa kile Kidogo WALICHONISAIDIA nacho pale nikiwa SHIDANI (katika wakati Mgumu wa Kimaisha ) naona HAKIJATOSHA hivyo NIMEAPA (nimeweka NADHIRI) kuwa Milango yangu ya BARAKA ya KIMAISHA ikifunguka tu NITAWALIPA pakubwa zaidi kwa UTU na WEMA wao Kwangu GENTAMYCINE bila ya Kuwasahau YATIMA, WAJANE na WAZEE.

Ewe Mwenyezi Mungu NIINUE ili niweze Kuyatimiza haya kwani bila ya Wewe KUWAGUSA katika MIOYO yao na KUWAUMBA kwa ROHO ya UBINADAMU walizonazo kamwe wasingeweza KUNIPIGANIA, KUNISAIDIA na KUNISHAURI kuhusu Maisha na Watu.

Tusiwasahau wale WALIOTUSAIDIA.
 
Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5 ) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko ( Ndugu, Jamaa na Marafiki ) hawa Wote GENTAMYCINE nimeapa kama si Wao basi Watoto wao au Wake zao lazima waje Kula mno MATUNDA yangu Mafanikio yangu ya Kimaisha pale Maulana / Mola AKINIUMBA Kimaisha.

Asante ya KAULI ambayo nimewapa na naendelea kuwapa kwa kile Kidogo WALICHONISAIDIA nacho pale nikiwa SHIDANI ( katika wakati Mgumu wa Kimaisha ) naona HAKIJATOSHA hivyo NIMEAPA ( nimeweka NADHIRI ) kuwa Milango yangu ya BARAKA ya KIMAISHA ikifunguka tu NITAWALIPA pakubwa zaidi kwa UTU na WEMA wao Kwangu GENTAMYCINE bila ya Kuwasahau YATIMA, WAJANE na WAZEE.

Mkuu haya ni mawazo ya kabla hayajalia mbwata.
Yakisha Lia mbwata mkuu utasahau tu.
Mimi nimewaona wengi Sana yakilia wanasahau though wapo wanaokumbuka.
 
Siyo Kwangu GENTAMYCINE niamini 100% Mkuu sawa?
 
Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5 ) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko ( Ndugu, Jamaa na Marafiki ) hawa Wote GENTAMYCINE nimeapa kama si Wao basi Watoto wao au Wake zao lazima waje Kula mno MATUNDA yangu Mafanikio yangu ya Kimaisha pale Maulana / Mola AKINIUMBA Kimaisha.

Asante ya KAULI ambayo nimewapa na naendelea kuwapa kwa kile Kidogo WALICHONISAIDIA nacho pale nikiwa SHIDANI ( katika wakati Mgumu wa Kimaisha ) naona HAKIJATOSHA hivyo NIMEAPA ( nimeweka NADHIRI ) kuwa Milango yangu ya BARAKA ya KIMAISHA ikifunguka tu NITAWALIPA pakubwa zaidi kwa UTU na WEMA wao Kwangu GENTAMYCINE bila ya Kuwasahau YATIMA, WAJANE na WAZEE.

Ewe Mwenyezi Mungu NIINUE ili niweze Kuyatimiza haya kwani bila ya Wewe KUWAGUSA katika MIOYO yao na KUWAUMBA kwa ROHO ya UBINADAMU walizonazo kamwe wasingeweza KUNIPIGANIA, KUNISAIDIA na KUNISHAURI kuhusu Maisha na Watu.

Tusiwasahau wale WALIOTUSAIDIA.
It's key to be the kind of person who remembers those who had your back an gives props because life's a two way street bwana Genta... Even if you can't directly thank those who had your back basi you can pay it forward through others...you know? The most solid gratitude is straight from the heart and even the Big Guy huko juu mbinguni anafahamu hilo.
It's a way to let those who helped you know their worth,umuhimu wa support yakon kwao and care for them.

Let's hold on to our thanks for those who came through cause it's blessin's in the bank for the future bwana Genta.
Life keeps rollin' no end in sight......
 
Ungeandika kwa Kiswahili ingependeza zaidi hata hivyo Asante na Nimekuelewa Mkuu.
 
Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na Marafiki) hawa Wote GENTAMYCINE nimeapa kama si Wao basi Watoto wao au Wake zao lazima waje Kula mno MATUNDA yangu Mafanikio yangu ya Kimaisha pale Maulana / Mola AKINIUMBA Kimaisha.

Asante ya KAULI ambayo nimewapa na naendelea kuwapa kwa kile Kidogo WALICHONISAIDIA nacho pale nikiwa SHIDANI (katika wakati Mgumu wa Kimaisha ) naona HAKIJATOSHA hivyo NIMEAPA (nimeweka NADHIRI) kuwa Milango yangu ya BARAKA ya KIMAISHA ikifunguka tu NITAWALIPA pakubwa zaidi kwa UTU na WEMA wao Kwangu GENTAMYCINE bila ya Kuwasahau YATIMA, WAJANE na WAZEE.

Ewe Mwenyezi Mungu NIINUE ili niweze Kuyatimiza haya kwani bila ya Wewe KUWAGUSA katika MIOYO yao na KUWAUMBA kwa ROHO ya UBINADAMU walizonazo kamwe wasingeweza KUNIPIGANIA, KUNISAIDIA na KUNISHAURI kuhusu Maisha na Watu.

Tusiwasahau wale WALIOTUSAIDIA.
Habari NJEMA sana!Mungu akuzidishie upate zaidi,kwa kweli hili jambo ni jema sana Nina ushuhuda mkuu,bibi yangu mzaa mama alinilea kuanzia miaka8hadi namaliza form4.Nikaenda chuo Cha Biashara (CBE).Nikapata kazi kampuni flani hivi Dar hatimaye nikahamishiwa Dodoma ambapo nipo hadi Sasa,Ingawa sipo Tena kazini kwa ufupi bibi yangu nilimtendea mema hadi anafariki jina langu Kimwakaleli lilikuwa mdomoni mwake!Na hata aliyenipa mchongo wa kazi naye nilimkumbuka vyema sana.Kwa Sasa unaweza kuwarushia hata voucher mkuu.
 
Ubarikiwe mara Milioni Mkuu na Heko.
 
Back
Top Bottom