Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu.
Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki iliyopita nilitaka kuitoa kwasababu muda wake wa kukaa kwenye hiyo account umeisha.
Kuna rafiki yangu akanishauri niiache hiyo pesa iendelee kukaa kweny hiyo account halafu niombe mkopo kwa kutumia hiyohiyo pesa kama dhamana.
Swali langu kabla sijaenda bank kuongezea muda wa account yangu na kuomba mkopo je, huwa inakubaliwa pesa niliyonayo bank iwe kama dhamana?