Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili kuthibitisha thamani yao kupitia pesa. Unaambiwa bila pesa huwezi kupendwa, kuheshimiwa au kuwa mwanaume...
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.
Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.
Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais
Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
TANESCO
Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona...
Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao yameshuka.
Baadhi ni hawa
Website designers - Ilikua deal sana enzi hizo, nakumbuka nikiwa nimepada...
Mwenye pesa ndio huamua muelekeo mzima wa perception, hata kama wewe ndio unaye onewa utaishiwa kuitwa msumbufu na usie na shukurani
Kama wewe ni mnene mfupi kifutu na unapesa wadada watakuita baby ila kama wewe ni mnene mfupi kifutu na hauna pesa wadada watakuita tukunyema
Kama una tabia ya...
Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi
sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia!
Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha
Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug...
Nyie dada zetu mmelogwa? Ina maana nyie hamna akili za kuweza kutumia au kutunza pesa zenu wenyewe hadi mumkabidhi mwenzenu Mariam awawekee? Inashangaza sana. Kwa msiofahamu ni kuwa kwa sasa mtandaoni kumeibuka wanawake wengi wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kama Nipher Cosmetics wanaomlaumu...
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli mpenzi wangu ananipenda au amenizoea kwa sababu ya msaada ninaompa.
Wakati hana pesa, huwa mtu tofauti kabisa. Ananipigia simu, ananijulia hali, anataka tuongee na huwa ananifanya nijisikie kama mimi ndiye mtu muhimu zaidi kwake.
Kuna wakati amekuwa na shida...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
“Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza…
kwa nini kwenye harusi au sherehe, wanaume huwa tunafika tunatoa pesa kama tumekuja kulipa deni la taifa? 😂
Kwa nini kwenye harusi au sherehe, ukiona watu wanatoa pesa nyingi sana kumtunza mtu, mara nyingi wanaume ndio tunaonekana mstari wa mbele? 😂
Lakini...
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔
Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.
Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu...
"The Illusion of Wealth" — a 10-minute Swahili deep dive. We're living on a credit card with no limit: money you can't eat, forests we're liquidating for it.
Three actions — change the metric, make trees collateral, buy village title. "You can't eat money, but you can eat the fruit of a tree...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.