pesa

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Lisu kulipwa zaidi ya bilioni 50 kama itaonekana hana hatia.

    Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana. Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote Hivyo Lisu ataenda kufilisi serikali rasmi ikionekana hana hatia yoyote. Halafu huyoooooooo anatimkia zaidi...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ? Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔 Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kusema kuwa mwanamke akikasirika basi mwanaume ampe pesa na mwanaume akikasirika basi mwanamke ampe good sex

    Unaweza kuchukulia poa huu msemo Labda ukaona umekaa secular sana Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
  4. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  6. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  7. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Alijiunga NSSF kwa kutumia Passport, sasa hivi anataka kutoa pesa anaambiwa lazima awe na NIDA. Hii imekaaje kisheria?

    Wakuu salama, Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake. Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
  8. min -me

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

    Sio kila mwanamke anastahili kupewa pesa . Ni muhimu sana kuwapa pesa wanawake ila sio kila mwanamke anastahili kupewa tena kwa kuidai. 🤔 Kuna wanawake wana sura personal kabisa , na maumbo kama majokeri eti nao badala wapambane kusaka pesa , nao wanakazana kusaka wanaume wenye pesa 🤣...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

    Ukiweka Shilingi Milioni 10 benki leo, unaamini kuwa pesa hizo ziko ndani ya chumba cha siri cha benki zikikusubiri wewe ukazichukue siku yoyote, sivyo? Ukweli ni kwamba: Pesa hizo hazipo hapo! Siku hiyo hiyo uliyoondoka, benki inachukua takriban Shilingi Milioni 8.5 hadi 9 na kuwakopesha watu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Pesa za moto

    Hizo ziko Africa pekee aise. kwingine kote lazima ule kwa jasho na kutumia akili. Sikatai kwamba kuna dirty money. Mshana Jr
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO SportyBet tunaomba maelezo kuhusu void ya mechi na makato ya pesa

    Naomba kufichua suala linalowakumba baadhi ya wateja wa SportyBet. Kumekuwa na hali ambapo, kwa mfano, mechi za Real Madrid na Viking zinawekwa void baada ya wateja kushinda, huku fedha zikikatwa au kuondolewa bila maelezo ya wazi wala taarifa kwa wateja. Kinachoshangaza ni kwamba fedha...
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Megan thee stallion: Nilimuomba Romelu Lukaku, alie kuwa mpenzi wangu pesa ya chumba cha hotelini, akanijibu jigharamie mwenyewe, ehee nikaachana nae

    Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu. Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

    Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa chadema hakuna, pesa ama haikutosha au imeliwa.

    Nilijuwa tu ingekuwa hivi. https://www.youtube.com/live/WsIGb9vVMec?si=PlUY2O1nojL2QYr_
  17. Mboju

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

    Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili yoyote mi nitapiga walau na mimi niwe na uhakika wa kula
  18. S

    JamiiForums Tanzania D Rax ajifananisha na Marioo kimavazi

  19. min -me

    JamiiForums Tanzania Katika mda ambao kijana unatakiwa utafute pesa nini sasa.

    Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka. Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
  20. Abdulziad

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
Back
Top Bottom