Habari waheshimiwa wa jukwaa hili?
Jana nikiwa zangu naendelea na shughuli zangu za ujenzi wa Taifa letu tukufu, nikapokea simu kutoka kwa mdada mmoja ambae alikuwa mtu wangu siku za nyuma, baada ya salamu za hapa na pale akaniuliza maisha yanaendaje, nikamwabia maisha magumu sana nikamtania...