Njaramatata
Member
- Aug 6, 2020
- 44
- 66
Habari wanna jukwaa.
Kuna kitu naomba nikizungumzie, inawezekana kilishaandikwa humu.
Napenda kuvilalamikia Sana vyombo vya habari hasa redio na TV, sio zote. Asilimia kubwa ya vipindi ni promotion ya michezo na umbea, yaani vipindi havizingatii muda wa kazi Wala kipi kinafaa kwenye jamii na kiwasilishwe. Radio zimekuwa kama kijiwe.
Information ni chakula cha ubongo kinajenga na kum-condition mtu. Sio ajabu ndo maana uelewa wetu Watanzania kuanzia watoto mpaka wakubwa ni wa hovyo. Ukimsaili mtoto Mambo ya shule na Mambo ya burudani unashangaa uzani inaelekea kwenye burudani hii ni hatari.
Hizi media sababu ya pesa zimeweka rehani hatma yetu.
Nawasilisha.