Biashara ya viwanja Dodoma imebuma Serikali yawasaka walionunua walipe pesa

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
7,787
2,000
Baada ya kutangazwa kwa jiji la Dodoma serekali iliandaa mpango wa kupima maelfu ya viwanja na kuviuza kwa mkopo. Wengi walivipapatikia wakijua watauza kwa faida baadae.

Wengi walionunua sio wakaazi wala hawana mpango wa kujenga na kuishi Dodoma bali walinunua kibiashara. Kumbuka viwanja vingi vipo nje ya mji.

Serekali imetangaza kua kuna maelfu ya viwanja ambavyo wanunuzi wake hawajamaliza hela hivyo wanatakiwa wavilipie la sivyo watapokonywa na kuuzwa kwa watu wengine.
 

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
5,490
2,000
Kuna mtu kiwanja kina sq.m 566 anauza 7m mwisho nikamwambia boss naenda jiji nitarudi na majibu

Baadae akanitumia msg akasema kama unaweza lipia haraka kesho madalali watakua wameuza

Sijajmjibu
 

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,212
2,000
Kuna mtu kiwanja kina sq.m 566 anauza 7m mwisho nikamwambia boss naenda jiji nitarudi na majibu

Baadae akanitumia msg akasema kama unaweza lipia haraka kesho madalali watakua wameuza

Sijajmjibu
Kama kiko nje ya mji Dodoma , hadi mwakani kitakuwepo.
Bora zaidi nenda Halmashauri ukauziwe kwa bei chee.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom