Muda wa kutengeneza pesa huu

Chato tena

Member
Jan 17, 2021
24
50
Habari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea.

Watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanya dua kwa wagonjwa wote waliopo katika mahosipital, majumbani Mungu awape tahafifu ili waweze kupona magonjwa yao.

Pia mwenyezi awaepushe watu wetu kutumia mianya ya magonjwa yetu kuiba na kupiga pesa ndefu.Amiyyn
 
Habari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea.watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanye dua kwa wagonjwa wote waliopo katika mahosipital, majumbani Mungu awape tahafifu ili waweze kupona magonjwa yao.Pia mwenyezi awaepushe watu wetu kutumia mianya ya magonjwa yetu kuiba na kupiga pesa ndefu.Amiyyn
Na hii ni taharuki tuu
 
Back
Top Bottom