Digital base
Senior Member
- Jul 19, 2020
- 126
- 189
Habari ya leo wakuu,
Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata baada ya hilo wazo.
Changamoto unaweza kuwa na wazo zuri lenye faida na uka jaribu kuanza lakini Kuna sehemu pesa inahitajika unashindwa ufanye vipi.Uki tafuta wawekezaji wenye pesa ili mboreshe wazo wengi wana amini hapo mtu unania ya kupiga tu pesa kumbe sivyo kabisa una nia safi ya kuendeleza wazo lako liwe bora na litambulike.
Pia kuna mtu ana kuwa na mtaji wa pesa ila kutokana na kukosa wazo zuri la biashara mtu anajikuta ana anzisha biashara kwa kufuata nini jirani yake ana fanya bila kujua history ya hiyo biashara alianza vipi namna gani alitengeneza wateja wake wa kudumu.
Pia huenda umeomba ushauri kwa mtu akakwambia biashara hiyo ina lipa sana utatoboa kumbe hata yeye hajui mwanzo wake na undani wake ukoje mtu unaweka milioni zako humo mwisho wa siku zina potea maana ume fanya kitu kwa kushauriwa ama kwa kuiga badala ya kufanya utafiti wewe mwenyewe.
Kutokana na ugumu uliopo katika soko unajikuta una kata tamaa mapema huku ukiumia kuhusu pesa yako uliyo wekeza una kuja kugundua kuwa ume kosea njia baada ya kuona hamna wateja kama ulivo tarajia.
Tatizo ni connection ya walio wahitaji wa kweli kwenye uwekezaji wa mawazo mazuri ya biashara na walio na uhitaji wa pesa kwa mawazo yao mazuri ya biashara.
Vijana tusio na ajira za kudumu mikopo kwenye taasisi za kifedha ni changamoto hatuna sifa za kukopesheka. Hapa iwe ni sehemu ya connection kwa wenye mitaji na mawazo ya biashara changanua wazo lako ili aliye na pesa ajue uhakika wa faida.
Karibuni .