Wanawake bwana tukifanya kazi muda mrefu na kuchelewa kurudi nyumbani mnalalama ila tukikaa nyumbani bila kutoka tena mnalalama

Mtoto wa Nyerere

Senior Member
May 21, 2021
129
688
Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania.

Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya kupata pesa nikiwa nyumbani muda mwingi .

Yaani kwa wiki nilikuwa natoka siku 4 siku tatu nipo nyumbani.

Lakini cha kushangaza wife alikuwa ananinunia akiniona nyumbani na ni kwangu mpaka nikawa nakosa amani Mimi sio mlevi wala mtu wa kujichanganya sana na mambo ya club au starehe zozote ingawa starehe yangu kubwa ni kuangalia Mpira ambao naangalia nikiwa nyumbani.

Alikuwa akinuna sana sana na nimesota kweli ila nakiri hatujawai kushindwa kupata basic needs

Sasa mwaka huu mwezi 4 nimepata tena shavu na nimekuwa busy sana kusafiri mikoa mbali mbali na kurudi usiku kwa kufanya vikao vingi na shughuli nyingi na kurudi nimechoka sana

Ila ananuna na kupiga simu kila muda na kuwa kero hata kwa mabosi wangu yaani anataka niwai nyumbani kitu ambacho ni kigumu kwangu.

Hataki nisafiri mwenyewe anataka nisafiri nikiwa naye safari ya kikazi duh!

Nimeshindwa kuelewa anataka nini nifanye ili niweze kumridhisha maana sielewi kabisa alikuwa anapenda nifanye kazi au anapenda nikae tu jobless.

Ananiweka njia panda.
 
Duuuuh sijui hata nikushauri nini, ila ni maji ulioyavulia nguo huna haja kuyaoga either ya moto au ya baridi.
 
Me nauliza tu jambo/majambo
Ni muaminifu kwako
Anakuheshimu
Anakusikiliza unachomwambia
Mnagombana mambo ya kijinga na kuelewana
Ni mwepesi kukuomba msamaha akikukosea
Mmezaa watoto
 
Me nauliza tu jambo/majambo
Ni muaminifu kwako
Anakuheshimu
Anakusikiliza unachomwambia
Mnagombana mambo ya kijinga na kuelewana
Ni mwepesi kukuomba msamaha akikukosea
Mmezaa watoto
Tuna mtoto mmoja wa miaka 3

Mimi sio muongeaji sana ila yeye ni msemaji sana

Ni mwaminifu kwa hilo sina shaka naye anaweza kwenda sokoni na kukuachia simu yake ndani na ukafanya kila unachotaka kwenye simu yake labda kama ana mbinu nyingine.

Swala la kuomba msamaha uwa anaomba ila mpaka umwambie kama amekukosea
 
Tuna mtoto mmoja wa miaka 3

Mimi sio muongeaji sana ila yeye ni msemaji sana

Ni mwaminifu kwa hilo sina shaka naye anaweza kwenda sokoni na kukuachia simu yake ndani na ukafanya kila unachotaka kwenye simu yake labda kama ana mbinu nyingine.

Swala la kuomba msamaha uwa anaomba ila mpaka umwambie kama amekukosea

Anafanya kazi gani?
 
Tuna mtoto mmoja wa miaka 3

Mimi sio muongeaji sana ila yeye ni msemaji sana

Ni mwaminifu kwa hilo sina shaka naye anaweza kwenda sokoni na kukuachia simu yake ndani na ukafanya kila unachotaka kwenye simu yake labda kama ana mbinu nyingine.

Swala la kuomba msamaha uwa anaomba ila mpaka umwambie kama amekukosea
Good bro huyo ndio mkeo
Hongera sana
Nikwambie tu wanawake wote sawa km kutofautiana ni vitu vichache mno
Ili uishi vizuri na mwanamke
Unatakiwa ucheze part zote
Uwe kaka
Uwe baba
Uwe dada
Uwe rafiki
Uwe jirani
Uwe boss
Uwe mwalimu
tena wakati mwingine inabidi uwe hata ASKARI POLISI umpeleke KIJESHIJESHI na AMRI za KIPOLISI kaa CHINI ukibisha unakula BAO la haja

Kila situation inavyokuwa inabidi ubadilike kulingana na wakati
Kwa mfano kama situation iliopo hapo Inabidi uwe baba
kwa maana anadeka hapo so ili udumishe penzi inabidi uende nae km mtoto akizingua sana anakura mikofi unaenda zako angalia mpira
baadae ukirudi kazira kasusa bembeleza tu kisha unaichakata PAPUCHI KIHARDCORE km mpo seburen au sehemu yoyote sio chumbani na watoto wawe wamelala unapiga mechi ya hatari hukohuko huku unabembeleza
mm nishawai piga mechi kibabe uvunguni mwa kitanda mana ile sitaki sitaki kanuna tukajikuta tupo uvunguni mwa kitanda si unajua hivi vitanda vya chuma basi nikamsokomeza dydyu huko huko dadeki
baada ya hapo tukaenda kuoga ugomvi ushaisha
Hvyo ndivyo inavyotakiwa kuishi na mwanamke so bro RELAX piga kazi upate pesa km anakuheshimu hivyo na una imani mwaminifu nenda nae tu kininja

Isitoshe wanawake hubadilila kulingana na JOTORIDI la mwili lao vilivyo sasa jotoridi likiwa 37°C to 38°C tegemea vituko zaidi na maudhi na kukera
 
Hii kesi ipo kwa jirani yangu,bwana ni dereva gari limepata ajali so akawa ndani anasubiria gari itengemae basi bi shost maneno hayaishi kila wakiamka ooh sasa unakaa hapa tutakula nini mara ooh mwanaume gani unalala tuu basi mume akainuka akasepa mazima. Ndo tumeitwa kutatua mgogoro jamaa kasema bora arudi kwa wazazi wake akajipange amuache mwanamke anaeona kukaa kwake siku chache tuu bila kazi kwake ni shida je akiumwa na kupalalaizi si ndo itakua shida.
 
Ana saloon yake anafanya kazi huko pia ana duka lake la vipodozi
Kumbe ni busy figure, mi nilijua labda yupo tu idle muda mrefu ndio maana anafanya hivyo, that must be the habit na usipoikemea mapema itakusumbua, kama unampa muda wa kutosha hana budi kukusumbua ukiwa katika majukumu ya kazi, anatakiwa akutie moyo na sio kununa, kemea hiyo tabia na piga mkwara mapema itakua sugu

Zungumza nae mweleze kwamba analukwaza kwa tabia hiyo
 
Back
Top Bottom