Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

buhoro ksl

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
248
246
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
 
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sas awanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwishamsimu ujao.
Kila mwaka Yanga huwa wanasajili hivihivi
Ukisoma habari za usajili ,za Yanga kwenye nagazeti unaweza kuogopa
 
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sas awanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwishamsimu ujao.
Mtopolo katika ubora wako.
 
Back
Top Bottom