pesa

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Naona Anguko la SIM Pesa

    Habari wakuu bila shaka leo ndio tarehe yenyewe yaani mabadiliko ya miamala kwenye mifuko ya simu yameanza kutumika. Bila shaka kila mtu ambaye anafanya miamala kwenye simu amekumbwa na hilo pia najua limewasikitisha na hapo ndo maana halisi ya neno la Rais Samia kwamba wampe mda ajenge kwanza...
  3. Allist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

  5. kidereko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza matumizi ya taxify na Uber kwenye kutuma na kupokea pesa; Je, inawezekana?

    Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke. Je, hii inawezakana?
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  8. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Hii ni Orodha ya Kazi zilizodharaulika mwanzoni lakini zikiwa na pesa nyingi

    Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana. 1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE. Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu duni wasiokuwa na elimu. Wasiokuwa na kazi walikuwa tayari kukaa nyumbani kuliko kufanya kazi hii...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  11. mmh

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar

    Wasalam wakuu, naomba kufahamishwa mwenye kujua bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Pesa kwenye giligilani

    Wasalam wadau, bila shaka tu wazima kwa ulinzi wa Mungu. Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua bei ya kilo ya giligilani kwa mosoko ya dar.
  14. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

    Habari Wana Kijiji, Binafsi nimeshtuka sana, mpaka nlidodosha bakuli langu la pombe ya kienyeji jana usiku nlipokuwa kilabuni baada ya kupata habari hizi za kuogofya na kushtua. Habari zenyewe ni baada ya kuambiwa wale jamaa zetu wanaotupa misaada kama taifa, misaada wanayotupa ya kila mwaka...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shangilieni Ushindi wenu wa 'Kichawi' na 'Fluku', ila sasa 'mtakamuliwa' Pesa kama hivi hadi mkome

    Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum. Pia imetakiwa kulipa Sh850,000 ikiwa ni gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  17. Granted Faith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

    Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2} Awe kisirani kisichoisha 3} Ni rahisi sana kukucheat 4} Atakuchukulia poa Acheni ubahili mpe mpenzi...
  18. Chee4

    JamiiForums Tanzania Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowaacha wapenzi wapenda pesa

    Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni. Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi. Maajabu ni...
Back
Top Bottom